Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Nyie wa ndugu ni wazima.

Tuna mahusiano ya mwaka 1, mwezi kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae...
Kwanza amesha kutambulisha ata ndugu yk mmoja? Vipi kwenu je wanamjua alishawahi kupeleka sura yake kwenye.

ukijibu hayo maswali nitakushauri.
 
Bia mchana huu? Ndio ulewe upate sababu ya kufanya uzinzi eeh? Wewe kunywa hata Mo xtra moja hapo.
Apana mkuu sio kila mtu bia zinakimbilia chini , mimi huwa zinani provoke kuongea kingereza tu, alafu bia ni mda wote mkuu mama samia apate kodi ya mishahara ya wafanyakazi.
 
Sasa hapo mamy ngoja dada yako nikufundishe mbinu za kivita. Si umesema unamtegemea yeye kila kitu kwa sasa? Na hiyo ina maanisha anakuhudumia si ndiyo? Na hapo nimeona mambo ya ma abroad maana yake ana hela. Sasa wewe muombe akufungulie hata saloon au hata biashara nyingine yoyote unayohisi unaweza kuifanya. Kisha unaweza ukajiaminisha kubeba mimba.. hata asipokuoa akikimbia unakuwa na biashara itakayo ku support kwenye malezi ya mtoto.
 
Apana mkuu sio kila mtu bia zinakimbilia chini , mimi huwa zinani provoke kuongea kingereza tu, alafu bia ni mda wote mkuu mama samia apate kodi ya mishahara ya wafanyakazi.

Kumbe bia zina kufanya uongee kingereza fresh enh. Sasa jioni twende kwa mangi wote unywe bia halafu utaongea kingereza na mimi.
 
Kumbe bia zina kufanya uongee kingereza fresh enh. Sasa jioni twende kwa mangi wote unywe bia halafu utaongea kingereza na mimi.
Hahahaha ila pombe kidgo inafaa zaid j mosi katakati ya wiki utapoteza mahesabu[emoji4]
 
Nyie wa ndugu ni wazima.

Tuna mahusiano ya mwaka 1, mwezi kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae

Suala la ndoa anasema on process nikiwa tayari nina kibendi sababu ni kwamba naweza kumkimbiaa [emoji23][emoji23]

Mimi kwasasa sina kazi namtegemea yeye hilo suala la kuzaa kwasasa nimelipingaa lolote linaweza kutokea huko mbeleni

Ushaurii wenu ni njia salama za kujikinga na mimba. Na kwa waliowahi kutumia na hazija waathiri

NB: Mimi sijawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango so nataka nianze kutumia now

[emoji1787][emoji1][emoji1]
Eeh olewa ukafue majeans
 
Mbona si maharage ya mbeya [emoji23][emoji1787][emoji23]

Kwasababu yanaiva haråka tofauti na Mtoto ni hatua kwa hatua beseni tu limefika laki na nusu mimi hata vocha natumiwa nitapata kweli hata ya pampas au nikawape shida wazazi wangu [emoji1787]
 
Kupitia jinsi anavoishi
Je ni mtu ambaye anatimizq ahadi zake kwa wakati?(NIDHAMU)
Kama hatimizi ahadi yake kwa wakati, jiandae kuwa single mom. Tabia haibadiliki

Ni wa viwango sema simuamini tu
 
Dada angu, maneno mazuri ndo ubinadam, na sio watu wote aanaingia huko kwenye kwa sababu wana uhakika, ni maturity....

Kama umri umefika, unampenda, anajali, anataka mtoto? Why not, kama sio wewe kuna mtu atampa haja ya moyo wake.

Vipi ananiambia tukaishi wote vipi na hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom