Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
....itakuwa ulifeli hesabu na umesoma ukiwa umevuta mibange!I daught if she was above 18. Kama Bob kazaliwa mama anamiaka 18 lini kashika ujauzito na lini huyo mzee kaanza kumuingilia? Anyway, babu wa kizungu wa miaka 60 na kitoto cha kijamaica cha miaka 18 mhn! Another story I read they say there was no intimacy between them, he just used her.
..haya jaribu tena,1945(mwaka ambao Bob alizaliwa) - 1881(mwaka aliozaliwa babaake Bob) = ???,
..ila walikutana baba ana miaka 60,mama 18!
..wazee tunazalishaga sana watoto magenious kama Bob,
.nipe dadaako angalau kwenu muambulie japo kamoja!