Huyu ndie Baba yake Bob Marley

Huyu ndie Baba yake Bob Marley

I daught if she was above 18. Kama Bob kazaliwa mama anamiaka 18 lini kashika ujauzito na lini huyo mzee kaanza kumuingilia? Anyway, babu wa kizungu wa miaka 60 na kitoto cha kijamaica cha miaka 18 mhn! Another story I read they say there was no intimacy between them, he just used her.
....itakuwa ulifeli hesabu na umesoma ukiwa umevuta mibange!
..haya jaribu tena,1945(mwaka ambao Bob alizaliwa) - 1881(mwaka aliozaliwa babaake Bob) = ???,
..ila walikutana baba ana miaka 60,mama 18!
..wazee tunazalishaga sana watoto magenious kama Bob,
.nipe dadaako angalau kwenu muambulie japo kamoja!
 
Mkuu una kipaji cha kuchekesha, wenzio kina Joti wanapiga hela we unafanya bure JF. Anyway, maandiko na documentary nyingi yanaelezea uhusiano wa Cedella Booker na huyu mzee haukua wa mapenzi. Umasikini ni kitu kibaya sana. He used her because of the economical situation na hii hali inaendelea mpaka leo hasa huku kwetu Africa.
 
Wewe nawe umenichekesha na majibu mazuri
 
Mkuu una kipaji cha kuchekesha, wenzio kina Joti wanapiga hela we unafanya bure JF. Anyway, maandiko na documentary nyingi yanaelezea uhusiano wa Cedella Booker na huyu mzee haukua wa mapenzi. Umasikini ni kitu kibaya sana. He used her because of the economical situation na hii hali inaendelea mpaka leo hasa huku kwetu Africa.
ILA hope mamake alifurahi sana kupata mtoto WA aina yake, aliekuja kujulikana dunia nzima
 
....itakuwa ulifeli hesabu na umesoma ukiwa umevuta mibange!
..haya jaribu tena,1945(mwaka ambao Bob alizaliwa) - 1881(mwaka aliozaliwa babaake Bob) = ???,
..ila walikutana baba ana miaka 60,mama 18!
..wazee tunazalishaga sana watoto magenious kama Bob,
.nipe dadaako angalau kwenu muambulie japo kamoja!

Wazee hivi hua mnapata nyege kbs na mnapiga gemu kama kawa? Hahahahaa
 
Mkuu una kipaji cha kuchekesha, wenzio kina Joti wanapiga hela we unafanya bure JF. Anyway, maandiko na documentary nyingi yanaelezea uhusiano wa Cedella Booker na huyu mzee haukua wa mapenzi. Umasikini ni kitu kibaya sana. He used her because of the economical situation na hii hali inaendelea mpaka leo hasa huku kwetu Africa.
....teh hee hee...hivi kwanini isiwe mamaake Bob ndo alikuwa anamtumia babaake Bob sababu alikuwa shkopa;
..ila yote kwa yote,product iliyotoka imekuwa ya maana sana kwa dunia!
..labda,ni Mungu tu na mipango yake!
 
Mama yake Bob aliitwa cedella booker kabla hajakutana na Capt. Norval Marley
 
ndo maana,stak mwanang ajekukosa malez ya baba wala mama
 
I admire the guy, lakini ukiongea kuhusu negative side yake ni noma. Yaani mkewe kalala chumba hiki ye anapiga kipara chumba kingine. Yule mama Rita Marley ana moyo wa malaika.
Sio sisi Mkuu, tatizo asili yetu inatusukuma kufanya hivo, wenzetu wanalalamika hawawez usiku kucha, sasa utafanyeje?
 
Back
Top Bottom