Huyu ndie Baba yake Bob Marley

Huyu ndie Baba yake Bob Marley

We bibi wakinamama majirani wasikuamini kukuachia wakina junior ili waende sikoni. Unaweza kuwaparua wewe.

Unashindwa kujibu hoja unaniingilia mimi?

Ulishaparuliwa nini?
 
Binti mdogo wa miaka mingapi?
Alikuwa anapenda vibinti vidogo ndo tabia yake huyo mzee, chini ya miaka 18.
Alianza kuwa na mama bob before the age of eighteen.
Thanks
 
Alikuwa anapenda vibinti vidogo ndo tabia yake huyo mzee, chini ya miaka 18.
Alianza kuwa na mama bob before the age of eighteen.
Thanks

Kwanza post yako namba moja umeweka miaka 18.

Usemi wako wa sasa hivi "Alianza kuwa na mama bob before the age of eighteen." unaweza kutuambia exactly ni miaka mingapi? Kwani sheria za Tanzania za juzi juzi tu zilikuwa zinaruhusu wenye umri wa miaka 14 kuoana.

Jamaica mwaka 1945 ilikuwa ni miaka mingapi unaweza kuolewa? Na huyo binti alikuwa miaka 18 au "chini ya hapo", kama chini ya hapo alikuwa na miaka mingapi?

Jamaica kama sikosei ilitawaliwa na Mwingereza, sheria ya ndoa ya 1925 iliongeza muda wa kuolewa kufikia miaka 16. Kabla ya hapo ilikuwa umri hauna maana ila ni "consent" maridhiano ya wazee.

The Age of Marriage Act 1929 (19 & 20 Geo 5 c 36) was an Act of the Parliament of the United Kingdom which increased the age of marriage to sixteen. It was passed in response to a campaign by the National Union of Societies for Equal Citizenship.[2]

Tukiuongelea haya mambo ya kupakazia tuelewe tunachokiongea, la sivyo tuyaacha kama yalivyo.

Kwa umri uliouweka kwenye post namba moja, hauwezi kusema huyo ni "pedophile". Kwani hilo ni kosa kubwa sana na unaweza kushitakiwa kisheria kwa ku defame mtu, tazama hii, huyu ndiyo anafaa kuitwa hivyo: HABARI PICHA BLOG: Mzee wa kanisa Aumbuka baada ya kufumaniwa Gesti na kibinti kidogo kilicho chini ya miaka 18
 
Huna hoja wewe. Unatetea wasichana wadogo kulalwa na mababu unaita hoja. Huo ni umajununi.
Soma post namba moja, ni miaka mingapi imeandikwa hapo, ya mama'ke Bob?

Bibi yako aliolewa na babu yako akiwa na miaka mingapi? (kama unawaelewa).
 
Soma post namba moja, ni miaka mingapi imeandikwa hapo, ya mama'ke Bob?

Bibi yako aliolewa na babu yako akiwa na miaka mingapi? (kama unawaelewa).

Hii stori huielewi vizuri usidandie kwa mbele tu. Mama na baba yake Bob hawakuwa mke na mume. Huyu mzee alikuwa rafiki wa karibu wa familia, na matokeo ndio Bob kazaliwa.
 
Hii stori huielewi vizuri usidandie kwa mbele tu. Mama na baba yake Bob hawakuwa mke na mume. Huyu mzee alikuwa rafiki wa karibu wa familia, na matokeo ndio Bob kazaliwa.

Mbona wapo wengi sana hao, hilo halimfanyi mtu kuwa "pedophile".

Nisiijuwe stori ya Bob Marley mimi niliyekuwepo uhai wake uijuwe wewe unaeisikia kisha kufa? Fikiri.
 
Paedophile hivi linatumika kila penye ngono mtambukarika au inabidi viwe vile vitoto vidogo?

Mtu anayejisikia kufanya mapenzi na underage huyo tunamweka kwenye kundi la Pedo.
 
Mbona wapo wengi sana hao, hilo halimfanyi mtu kuwa "pedophile".

Nisiijuwe stori ya Bob Marley mimi niliyekuwepo uhai wake uijuwe wewe unaeisikia kisha kufa? Fikiri.

Inawezekana unamjua Bob lakini hukuelewa kiini cha stori hii. Anyway, mi sikubaliani na kitendo cha babu wa miaka 60 kulala na kibinti teenage. Ukifuatilia hii stori utagundua kuwa ni matokeo ya umasikini tu wala hayakuwa mapenzi.
 
Wewe kama hukubaliani utakuwa ni mbaguzi.

Kama sheria inamruhusu na kama hukubaliani hilo ni tatizo lako binafsi si letu.

Mada nnaielewa sana kuliko unavyofikiria.

Laiti ingelikuwa mama'ke Bob ni mzungu na huyo baba'ke ni Mwafrika yasingekuwepo haya.

Halafu mtu juu huko anasema hajamuoa wakati huo huo anaweka jina la mama lenye surname ya Baba na mtoto surname hiyo hiyo.

Kuna mchepuko anatumia surname ya bwana'ke?
 
Mbona wapo wengi sana hao, hilo halimfanyi mtu kuwa "pedophile".

Nisiijuwe stori ya Bob Marley mimi niliyekuwepo uhai wake uijuwe wewe unaeisikia kisha kufa? Fikiri.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo umeuwa ndege mpaka kiota chake mama angu/////

Umenifurahisha na kunichekesha[emoji13]
 
Back
Top Bottom