PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Binti mdogo wa miaka mingapi?
We bibi wakinamama majirani wasikuamini kukuachia wakina junior ili waende sikoni. Unaweza kuwaparua wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti mdogo wa miaka mingapi?
Hakuwa pedophile maana mama yake Bob alikuwa katika legal age na aliridhia mahusianoIn short huyo mzee alikuwa paedophile.
We bibi wakinamama majirani wasikuamini kukuachia wakina junior ili waende sikoni. Unaweza kuwaparua wewe.
Nime miss comment zako mother houseasante
Kumbe ndio klikuw kamchezo kakeLicha ya mama bob kuwa 18 lakin babake bob alikuwa na tabia hiyo chafu pia
Alikuwa anapenda vibinti vidogo ndo tabia yake huyo mzee, chini ya miaka 18.
Alianza kuwa na mama bob before the age of eighteen.
Thanks
Kwa hyo wew zombi/UFO/Elien unatengeneza tu watoto maana sijaona jinsia yakondo maana,stak mwanang ajekukosa malez ya baba wala mama
Unashindwa kujibu hoja unaniingilia mimi?
Ulishaparuliwa nini?
Soma post namba moja, ni miaka mingapi imeandikwa hapo, ya mama'ke Bob?Huna hoja wewe. Unatetea wasichana wadogo kulalwa na mababu unaita hoja. Huo ni umajununi.
Paedophile hivi linatumika kila penye ngono mtambukarika au inabidi viwe vile vitoto vidogo?In short huyo mzee alikuwa paedophile.
Soma post namba moja, ni miaka mingapi imeandikwa hapo, ya mama'ke Bob?
Bibi yako aliolewa na babu yako akiwa na miaka mingapi? (kama unawaelewa).
Hii stori huielewi vizuri usidandie kwa mbele tu. Mama na baba yake Bob hawakuwa mke na mume. Huyu mzee alikuwa rafiki wa karibu wa familia, na matokeo ndio Bob kazaliwa.
Paedophile hivi linatumika kila penye ngono mtambukarika au inabidi viwe vile vitoto vidogo?
Mbona wapo wengi sana hao, hilo halimfanyi mtu kuwa "pedophile".
Nisiijuwe stori ya Bob Marley mimi niliyekuwepo uhai wake uijuwe wewe unaeisikia kisha kufa? Fikiri.
Hapo unakosea imekubalika duniani ili mtu aitwe Pedo ni lazima awe above 16 na victim awe under 13Mtu anayejisikia kufanya mapenzi na underage huyo tunamweka kwenye kundi la Pedo.
Inawezekana unamjua Bob lakini hukuelewa kiini cha stori hii. Anyway, mi sikubaliani na kitendo cha babu wa miaka 60 kulala na kibinti teenage. Ukifuatilia hii stori utagundua kuwa ni matokeo ya umasikini tu wala hayakuwa mapenzi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo umeuwa ndege mpaka kiota chake mama angu/////Mbona wapo wengi sana hao, hilo halimfanyi mtu kuwa "pedophile".
Nisiijuwe stori ya Bob Marley mimi niliyekuwepo uhai wake uijuwe wewe unaeisikia kisha kufa? Fikiri.