Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
....itakuwa ulifeli hesabu na umesoma ukiwa umevuta mibange!I daught if she was above 18. Kama Bob kazaliwa mama anamiaka 18 lini kashika ujauzito na lini huyo mzee kaanza kumuingilia? Anyway, babu wa kizungu wa miaka 60 na kitoto cha kijamaica cha miaka 18 mhn! Another story I read they say there was no intimacy between them, he just used her.
....itakuwa ulifeli hesabu na umesoma ukiwa umevuta mibange!
..haya jaribu tena,1945(mwaka ambao Bob alizaliwa) - 1881(mwaka aliozaliwa babaake Bob) = ???,
..ila walikutana baba ana miaka 60,mama 18!
..wazee tunazalishaga sana watoto magenious kama Bob,
.nipe dadaako angalau kwenu muambulie japo kamoja!
Wewe nawe umenichekesha na majibu mazuriMkuu una kipaji cha kuchekesha, wenzio kina Joti wanapiga hela we unafanya bure JF. Anyway, maandiko na documentary nyingi yanaelezea uhusiano wa Cedella Booker na huyu mzee haukua wa mapenzi. Umasikini ni kitu kibaya sana. He used her because of the economical situation na hii hali inaendelea mpaka leo hasa huku kwetu Africa.
ILA hope mamake alifurahi sana kupata mtoto WA aina yake, aliekuja kujulikana dunia nzimaMkuu una kipaji cha kuchekesha, wenzio kina Joti wanapiga hela we unafanya bure JF. Anyway, maandiko na documentary nyingi yanaelezea uhusiano wa Cedella Booker na huyu mzee haukua wa mapenzi. Umasikini ni kitu kibaya sana. He used her because of the economical situation na hii hali inaendelea mpaka leo hasa huku kwetu Africa.
....itakuwa ulifeli hesabu na umesoma ukiwa umevuta mibange!
..haya jaribu tena,1945(mwaka ambao Bob alizaliwa) - 1881(mwaka aliozaliwa babaake Bob) = ???,
..ila walikutana baba ana miaka 60,mama 18!
..wazee tunazalishaga sana watoto magenious kama Bob,
.nipe dadaako angalau kwenu muambulie japo kamoja!
....teh hee hee...hivi kwanini isiwe mamaake Bob ndo alikuwa anamtumia babaake Bob sababu alikuwa shkopa;Mkuu una kipaji cha kuchekesha, wenzio kina Joti wanapiga hela we unafanya bure JF. Anyway, maandiko na documentary nyingi yanaelezea uhusiano wa Cedella Booker na huyu mzee haukua wa mapenzi. Umasikini ni kitu kibaya sana. He used her because of the economical situation na hii hali inaendelea mpaka leo hasa huku kwetu Africa.
....hahahahaha...kijana mbona unauliza majibu??Wazee hivi hua mnapata nyege kbs na mnapiga gemu kama kawa? Hahahahaa
Na nasikia bob Marley alikuwa sukari sana kwa warembo kaacha kijiji cha watoto
[emoji1] [emoji1] af KweliMama mnyakyusa
Ras alikuwa anaujaza UlimwenguI admire the guy, lakini ukiongea kuhusu negative side yake ni noma. Yaani mkewe kalala chumba hiki ye anapiga kipara chumba kingine. Yule mama Rita Marley ana moyo wa malaika.
Sio sisi Mkuu, tatizo asili yetu inatusukuma kufanya hivo, wenzetu wanalalamika hawawez usiku kucha, sasa utafanyeje?I admire the guy, lakini ukiongea kuhusu negative side yake ni noma. Yaani mkewe kalala chumba hiki ye anapiga kipara chumba kingine. Yule mama Rita Marley ana moyo wa malaika.
Mbona maelezo hapo juu yashatolewa bidada?
Mzee Wa miaka 60 na vibinti vidogo wap na wap?