Huyu ndie Baba yake Bob Marley

Bidada bora kase
Inaitwa copy and paste. It's very easy, even an idiot can do it.
pa mngebishana hapa hadi basi, Na wewe ndo umeshinda Mkuu,
Jibu anajua lakini anafanya makusudi
 
=Tuyaache
Naona umeanza kufuta ujinga kiasi ila Kazi ya udaktari hufai utakuja kuua kwa makosa
 


Argument yako hiyo haina mashiko, kwani mleta mada kwenye post namba moja aliposema mama'ke Bob alikuwa ana miaka 18 hukuona? Au na yeye source yake ni BBC?
 
JAH RASTAFARI:
Love the life you live.live the life you love
HIS IMPERIAL MAJESTY EMPEROL HAILE SELASSIE I THE FIRST
 
Argument yako hiyo haina mashiko, kwani mleta namba mada aliposema mama'ke Bob alikuwa ana miaka 18 hukuona? Au na yeye source yake ni BBC?
hapo kwenye nyekundu ni kiswahili cha kanda ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…