Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Ni kweli, alimfuta machozi mama'ke ya kutumika kama chombo cha stareheILA hope mamake alifurahi sana kupata mtoto WA aina yake, aliekuja kujulikana dunia nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, alimfuta machozi mama'ke ya kutumika kama chombo cha stareheILA hope mamake alifurahi sana kupata mtoto WA aina yake, aliekuja kujulikana dunia nzima
Let's assume u won PAGAN[emoji3]Inaitwa copy and paste. It's very easy, even an idiot can do it.
=TuyaacheKwanza post yako namba moja umeweka miaka 18.
Usemi wako wa sasa hivi "Alianza kuwa na mama bob before the age of eighteen." unaweza kutuabia exactly ni miaka mingapi? Kwani sheria za Tanzania za juzi juzi tu zilikuwa zinaruhusu wenye umri wa miaka 14 kuoana.
Jamaica mwaka 1945 ilikuwa ni miaka minapi unaweza kuolewa? Na huyo binti alikuwa miaka 18 au "chini ya hapo", kama chini ya hapo alikuwa na miaka mingapi?
Jamaica kama sikosei ilitawaliwa na Mwingereza, sheria ya ndoa ya 1925 iliongeza muda wa kuolewa kufikia miaka 16. Kabla ya hapo ilikuwa umri hauna maana ila ni "consent" maridhiano ya wazee.
The Age of Marriage Act 1929 (19 & 20 Geo 5 c 36) was an Act of the Parliament of the United Kingdom which increased the age of marriage to sixteen. It was passed in response to a campaign by the National Union of Societies for Equal Citizenship.[2]
Tukiuongelea haya mambo ya kupakazia tuelewe tunachokiongea, la sivyo tuyaacha kama yalivyo.
Kwa umri uliouweka kwenye post namba moja, hauwezi kusema huyo ni "pedophile". Kwani hilo ni kosa kubwa sana na unaweza kushitakiwa kisheria kwa ku defame mtu, tazama hii, huyu ndiyo anafaa kuitwa hivyo: HABARI PICHA BLOG: Mzee wa kanisa Aumbuka baada ya kufumaniwa Gesti na kibinti kidogo kilicho chini ya miaka 18
BBC ni Royal funded propagation media, na baba yake Marley alikuwa mwakilishi wa wakoloni Jamaica, so what do you expect? Very complicated story, when they met, a baby born & the separation alikuwa 18 tu. Ukweli usioandikika na BBC ni kwamba huyu mzee kama ilivyokuwa wazee wengine wa kizungu ilikuwa ni tabia yake kuwatumia na kuwakalia wasichana wadogo wa kiafrika. Maneno matamu ndio tabia ya pedos, huwa hawatumii nguvu ni walaghai wakubwa.
hapo kwenye nyekundu ni kiswahili cha kanda ipi?Argument yako hiyo haina mashiko, kwani mleta namba mada aliposema mama'ke Bob alikuwa ana miaka 18 hukuona? Au na yeye source yake ni BBC?
hapo kwenye nyekundu ni kiswahili cha kanda ipi?