Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaaaaaaKwani mliwahi kuishi pamoja? Unamchukia?
Senzo mzima bhana sema amepalalaizi...Yeah...nimewasikia naye alimuua Senzo...kwahiyo karma ikafanya take.
Anyway-rip.
Kuna jamaa yule anayepiga kinanda kwenye nyimbo nyingi za Dube niliwahi ongea nae na alinieleza Senzo ni mzima.Humu ndani kuna clip inaonyesha kuwa senzo bado yupo hai ila amepoteza sauti
Simchukii na hatujawahi kuishi pamoja,Kwani mliwahi kuishi pamoja? Unamchukia?
Jesus ChristMuuaji baada ya kushambulia gari lake na risasi na kuja kushuhudia amemuua dube alisema nenden mkaninyonge maana nimemuua mtu ninaempenda....... Alikua ni mmoja wa wanamuziki wenye vyombo vingi vya muziki,,,vilikadiriwa kufikia tani nane mpka kumi.... Kaimba nyimbo nying lakin kwangu the BULLY inabaki kua nyimbo bora,,,. R.I.P DUBE![]()
Amani iwe nawe
AmenPeace and love, all raster man!!! View attachment 482223
Siku zote mtu ambae Ni really rasta, sizungumzii wale WA wanaufuga coz of fashion Tu no, but namzungumzia yule ambae rasta zipo damuni, huwa na nguvu Sana za asili, kwa hiyo suala la watoto sio ka kuzungumza Ana uwezo WA kuzaa au kupata watoto zaid ya 15Huwa nafuatlia maisha ya Lucky Dube lakini naona mambo mengi hayawekwi wazi. KDa mfano idadi ya watoto, motto pekee anayejulikana ni Nkulee ambaye ni mwanamuziki