Huyu ndie lucky Philip dube

Huyu ndie lucky Philip dube

Muuaji baada ya kushambulia gari lake na risasi na kuja kushuhudia amemuua dube alisema nenden mkaninyonge maana nimemuua mtu ninaempenda....... Alikua ni mmoja wa wanamuziki wenye vyombo vingi vya muziki,,,vilikadiriwa kufikia tani nane mpka kumi.... Kaimba nyimbo nying lakin kwangu the BULLY inabaki kua nyimbo bora,,,
fc0827b489e3f98ecd5755fad073dd09.jpg
. R.I.P DUBE
 
Jesus Christ
 
Huwa nafuatlia maisha ya Lucky Dube lakini naona mambo mengi hayawekwi wazi. KDa mfano idadi ya watoto, motto pekee anayejulikana ni Nkulee ambaye ni mwanamuziki
 
Siku zote mtu ambae Ni really rasta, sizungumzii wale WA wanaufuga coz of fashion Tu no, but namzungumzia yule ambae rasta zipo damuni, huwa na nguvu Sana za asili, kwa hiyo suala la watoto sio ka kuzungumza Ana uwezo WA kuzaa au kupata watoto zaid ya 15
 
Back
Top Bottom