Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyimbo zake zina hakisi maisha halisiremember me unanigusa sana mimi
"daddy wherever you are,remember me in whatever you do I love you......naukubaki sanaremember me unanigusa sana mimi
It's not easy,ya ukweli sanaNimeusahau jina, ila napenda sana sehemu ya mashairi yanasema......
"Miezi kadhaa iliyopita, nilimfata Mama nakumwambia nataka kuoa....
Mama akaniuliza Mwanangu umepata Mchumba?....
Na huyo Mchumba umemchunguza vizuri?.....
Nikamjibu Mama kuwa nimemchunguza vya kutosha....
Nathubutu kusema anafaa kuwa mke wangu wa Ndoa.....
Mama akanipa go a head, lakini leo roho inaniuma....
Kwa sababu natakiwa kumfata Mama na kumwambia....
Mama...! Nimeachana na yule Mwanamke....!"
Mother died of heart attack,when she heard ur married again aisee,hii no nayo ingine kabisa"daddy wherever you are,remember me in whatever you do I love you......naukubaki sana
different colors one peoplehuo wimbo una ujumbe gani?
huyu jamaa ana nyimbo nyingi halafu zote kalithat the way it's
africa tumepoteza kichwa mmoja matata sanahuyu jamaa ana nyimbo nyingi halafu zote kali
sasa na mimi nimeelewa "different colors one people "different colors one people
ndio nilichoelewa
maana nzima ya hiyo nyimbo ni hapo tusasa na mimi nimeelewa "different colors one people "
Hatari Sana aiseeYou left for the city many years ago
Yessss...that's ithuo ni its not easy