Huyu ndie lucky Philip dube

Huyu ndie lucky Philip dube

Nimeusahau jina, ila napenda sana sehemu ya mashairi yanasema......

"Miezi kadhaa iliyopita, nilimfata Mama nakumwambia nataka kuoa....
Mama akaniuliza Mwanangu umepata Mchumba?....
Na huyo Mchumba umemchunguza vizuri?.....
Nikamjibu Mama kuwa nimemchunguza vya kutosha....
Nathubutu kusema anafaa kuwa mke wangu wa Ndoa.....
Mama akanipa go a head, lakini leo roho inaniuma....
Kwa sababu natakiwa kumfata Mama na kumwambia....
Mama...! Nimeachana na yule Mwanamke....!"
It's not easy,ya ukweli sana
 
List yangu
Screenshot_20180714-220049.jpg
 
Back
Top Bottom