Huyu ndie wa kutuvusha salama mwaka 2025

Uchaguzi gani boss, Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
uchaguzi ni mchakato sio hisia au imani.
shiriki kikamilifu kwa vitendo kwenye mchakato huu muhimu, kuondoa fikra potofu na uitumie haki yako ya msingi vema na kwa manufaa yako wewe mwenyewe.
 
Watu masikini muda wote uwaza chaguzi tu!
Jikiteni kwenye uzalishaji na kujenga uchumi!
uko sawa kabisa mchapakazi mzalishaji,
chapa kazi kwa bidii zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi,
ulinzi na usalama wa kazi na mali zako ni wa uhakika na utaendelea kua salama hadi 2035 chini ya comrade Dr.Phd,E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN...
 
uchaguzi ni mchakato sio hisia au imani.
shiriki kikamilifu kwa vitendo kwenye mchakato huu muhimu, kuondoa fikra potofu na uitumie haki yako ya msingi vema na kwa manufaa yako wewe mwenyewe.
Kwa ule upuuzi unaondelea kwenye chaguzi zetu, mtu mpuuzi tu ndio anaweza kuendelea kushiriki ushenzi huo.
 
mambo yanabadilika na mambo yamebadilika sana, ukitaka kuelezea maswala ya uchaguzi wa Tanzania basi nakusihi jipange kuelezea uchaguzi wa 2024 na 2025. Maboresho makubwa yamefanyika na nikuhakikishie chaguzi zote zijazo nchini zitakua huru, haki na wazi kuliko chaguzi zozote. narudia tena zozote ulizowahi kuskia na kuziona duniani chini ya comrde Dr.PhD,E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN...

Na nikuhakikishie tu,
chaguzi za 2024-2025 zitapewa kongole nyingi mno na kushangiliwa dunianai pote,
kwasababu utakua ni uchaguzi mzuri mnoo......
usipange kukosa fursa hiyo muhimu, ya kipekee na kihistoria tafadhali.......
 
Kwa katiba na muundo huu wa uchaguzi, watu wajinga tu ndio watajitokeza kupiga kura. Jiandaeni kupika idadi ya wapiga kura, maana chaguzi hizo zitakuwa na wapiga kura wachache mno. Hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki chaguzi za kishenzi.
 
nashukuru tunaelekea kuaelewana taratibu, taratibu,
pendekezo lako mujarabu mno ni mchakato mpana, muhimu sana unao hitaji, umakini, weledi, muda wa kutosha zaidi kwa majadiliano, unahitaji fedha nguvu kazi na technolojia kuukamilisha kwa uzuri na umahiri zaidi.

nikupe tu taarifa comrade,
ni kwamba jambo hilo muhimu ni kipaumbele cha mwanzo zaidi katika ilani ya ccm ya 2025-2035.
na tutakapo chukua hatamu kwa kishindo pale october 2025, mchakato huo utanaza maramoja na watanzania kupata fursa ya kushirki kikamilifu kuunda katiba yao, kwa muda wa kutosha, uhuru na kwakweli uwazi zaidi, ili kusudi tupate dokumenti inayotuunganisha watanzania wote bila kujali dini, rangi, kabila au mrengo wa kisiasa.

kwahiyo ndugu yangu,
kama utakua na malalamiko mengine kuhusu uchaguzi basi anza kuulalamikia wa 20224-2025, ambao nakuhakikishia hapatakua na chembe ya dosari chini ya comrade Dr.PhD,E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN
 
Mzalendo msikivu, Mwenye huruma, anaye jali utu wa watu wa hali zote, muungwana kwa maneno na vitendo, mchapakazi makini, mahiri na hodari wa kuhubiri Amani, Umoja, mshikamano na utangamano wa waTanzania.

Ni alama ya demokrasia, uhuru, haki, uwazi, uwajibikaji na usawa nchini. Mwenye maono ya maendeleo ya watu na vitu aliebeba matumaini ya uhakika ya waTanzania.

Hakika Mama Samia Suluhu Hassan ni pendekezo sahihi na la uhakika, kutuvusha salama uchaguzi mkuu 2025.

Neema na Baraka za Mungu zikuandame vema dominika ya leo .
Una uhuru wa kutoa mawazo yako na hongera. "Mahiri na hodari wa kuhubiri amani.." siyo sifa. Amani kuwepo ndiyo sifa nzuri kwenye matangazo ya biashara. Pia " msikivu... anayejali utu wa watu wa hali zote... mchapa kazi makini..." inaonekana kama unamkumbusha ya kufanya au unamfanyia tangazo hasi la biashara (negative commercial "? Inafaa kuwa makini katika matangazo. Huu ni ushauri wa bure tu kutoka kwa mtazamaji wala sikupingi!!
 
Achana na porojo za sijui uzalendo na msikivu swala la msingi na Muhimu ni kwamba anafanya vizuri san kwenye uchumi na Huduma za jamii.

Tuhame kubadili porojo tuje kulinganisha matokeo ya utendaji wa kazi.
 
Alaah kumbe! Nimekurupuka nikijua Kuna jambo la maana nami nisipitwe
 
uzalendo na usikivu ni nyenzo na ni jambo muhimu mno, na tena, nadhani ndio msingi wa kua na mipango mikakati makini na madhubuti katika kubuni, kupanga na kujenga uchumi imara, wa uhakika na unao aminika na kuchochea hali bora za maisha ya watanzania, kipato cha uhakiaka, uhakika wa maji wa maji safi na salama, madawa na madakitari wanaotosheleza, elimu nzuri na bora, usafiri na usafirishaji wa uhakika, biashara, ulinzi na usalama wa watu na mali zao, na kwakweli umoja na mshikamano wa waTanzania.

Yote haya yanaweza kufanywa na mtu mzalendo na msikivu pekee ambae kwakweli ni dhahiri shahiri ni comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN.
 
Una uhuru wa kutoa mawazo yako na hongera. "Mahiri na hodari wa kuhubiri amani.." siyo sifa. Amani kuwepo ndiyo sifa nzuri kwenye matangazo ya biashara. Pia " msikivu... anayejali utu wa watu wa hali zote... mchapa kazi makini..." inaonekana kama unamkumbusha ya kufanya au unamfanyia tangazo hasi la biashara (negative commercial "? Inafaa kuwa makini katika matangazo. Huu ni ushauri wa bure tu kutoka kwa mtazamaji wala sikupingi!!
hujachelewa na kwakweli muda bado upo, nafasi ipo na hakuna atakea achwa nyuma kwenye safari hii muhimu, salama na ya uhakika kuelekea Tanzania ya kipekee Duniani chini ya comrade Dr.Phd.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN.

Be free na usiogope, karibu sana....
 
uzalendo na usikivu ni nyenzo na ni jambo muhimu mno, na tena, nadhani ndio msingi wa kua na mipango mikakati makini na madhubuti katika kubuni, kupanga na kujenga uchumi imara, wa uhakika na unao aminika na kuchochea hali bora za maisha ya watanzania, kipato cha uhakiaka, uhakika wa maji wa maji safi na salama, madawa na madakitari wanaotosheleza, elimu nzuri na bora, usafiri na usafirishaji wa uhakika, biashara, ulinzi na usalama wa watu na mali zao, na kwakweli umoja na mshikamano wa waTanzania.

Yote haya yanaweza kufanywa na mtu mzalendo na msikivu pekee ambae kwakweli ni dhahiri shahiri ni comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN.
Nikishasikia mtu anajiita Mzalendo na blaa blaa kama hizo najua hamna kitu.

Tuhame kutoka kwenye porojo kwenda kwenye vitendo
 
Alaah kumbe! Nimekurupuka nikijua Kuna jambo la maana nami nisipitwe
hapana, hujakurupuka,
hiyo ni hali ya kawaida unapitia kama mwanadamu kamanda, amini utakaa sawa soon as possible, zaidi sana tutakapo unganisha nguvu kwa upendo na umoja tukiambatana na huyu mama comrade Dr.PhD,.E.G.H. SAMIA SULUHU HASSAN mpaka 2035, pasina wasi wala tashwishwi yoyote, anapoiongoza Mama Tanzania kwa uwazi, haki, usawa, uwajibikaji, weledi na umahiri mkubwa katika kuchochea mambo mbalilimbali ya kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, sayansi na technolojia kwa maslahi mapana ya watanzania wote.
 
Nikishasikia mtu anajiita Mzalendo na blaa blaa kama hizo najua hamna kitu.

Tuhame kutoka kwenye porojo kwenda kwenye vitendo
Masuala yote ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii, Sayansi na Technolojia yanayotekelezwa kwa weledi na umahiri mkubwa na Comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASAN ni matokeo ya uzalendo usio shaka.

sijui ingekuaje vibaraka wangeshika hatamu.....
 
Back
Top Bottom