Huyu ndie wa kutuvusha salama mwaka 2025

Huyu ndie wa kutuvusha salama mwaka 2025

Japo niko live hapa muda huu kuna jambo letu tunlikamilisha hapa ikulu chamwino nakushukuru ndugu,
wacha niseme kidogo,

Katika ugumu na urahisi wa safari ya kuvuka 2025 chini ya comrade Dr.PhD.E.G.HSAMIA SULUHU HASSAN makundi yote yamezingatiwa sana,
huna sababu ya kujitenga mbali, uaamuzi huo hauna afya sana lakini ni haki yako inaheshimiwa.
katika safari hii muhimu maoni ya kila moja yanathaminiwa kwa uzito sawa, hata haya maoni yako dhidi yangu, nayaheshimu sana.

Jambo muhimu ni kwamba vijana, wazee, akina mama, vyama vya kiraia, mashirika ya dini, vyama vya wafanyakazi na wakulima, vyama vingi vya kisisa nchini na makundi mengine, pamoja na jumuiya za kimataifa, wanaamini na wanaimani na Comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN mpaka 2035....
Sawa mheshimiwa waziri.
 
Narudia tena, hakuna mtu anayejitambua atajitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi. Ww endelea na hizi documentary zako, lakini hakuna mtu ana muda mchafu wa kushiriki huo ukhanithi.
nashukuru kamanda,
naona umeanza kunielewa vizuri taratibu, zaidi sana nashukuru umeanza kumuelewa comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN na punde amehitimisha hotuba bora na mujarabu sana hapa ikulu ya chamwino dodoma.
I hope hadi wakati muafaka tutakua na mtazamo moja na nia mojo kwa maendeleo ya Tanzania moja na Dr.PhDE.G.H SAMIA SULUHU HASSAN.

Hakika itapendeza zaidi ndugu kuishi pamoja kwa umoja na upendo.
 
Back
Top Bottom