Msitufanye hatumfahamu nchimbi tunamjua sana na kwa taarifa yako mtoa mada nchimbi ni mmoja wa mamafia na ni kinara wa makundi ndani ya chama ambapo yupo kwenye kundi moja na washtumiwa wa ufisadi mkubwa hapa nchini.,kaz zake nying anazotekeleza ni kutafuta uungwaji mkono ndani ya chama ili ule mtandao wa wahujumu uchumi ukiongozwa na gabachori lililokubuhu rostam aziz uzidi kushika rasilimal zote kwa kutunyonyaAnaitwa Dr Emmanuel John Nchimbi, Moja Kati Ya Masenior Comredi Ndani Ya Chama Cha Mapinduzi Ni Mtu Mahiri Katika Kile Anachokiamini Na Hafundishwi Punda Kumwita Falasi .......
Ni Mwanasiasa Mwenye Nguvu Ndani Na Nje Ya ccm katika Ushawishi na Ukubalikaji wake ........
Wasifu wake kiuongozi ni mpana sana Ameanza Kuwa Raisi Wa Chuo Kikuu Mzumbe Akaja kuwa Mwenyekiti Wa uvccm Taifa Akagombea Ubunge jimbo La songea mjini akirisi mikoba ya Laurensi gama
Amekuwa mbunge kwa miaka kumi na amekuwa waziri kamili katia wizara mbili tofauti Wizara Ya Nyumba Na Makazi Na Wizara Ya mambo ya ndani pia Amekuwa naibu waziri katika wizara mbili tofauti wizara ya habari tamaduni na michezo pamoja na wizara ya mambo ya ndani....
Anasifika kwa uwelewa mpana wa mambo ya kitaifa katika nyanja mbali mbali kijamii kisiasa na kiuchumi.....
Ameweza kuwatenegeza wanasiasa wengi mashughuli wakiwemo madc na wabunge wabunge lijalo katika baraza la vijana taifa la mwaka 2008
Makatibu wa uvccm na wa wilaya na mikao ni product yake pia ni mjumbe kamati kuu kwa miaka isopungua 17 anajua ajenda za chama na kitaifa
Kijana na msomi mwenye uwezo wa kulimudu Bunge lijalo la 11
#Twende na Nchimbi Uspika
Twende na Nchimbi
Ni msomi
Ni kijana
Ana uwezo
Ana uzoefu mkubwa
Anaweza kuunganisha watu wa mitizamo tofauti
Ni mwanadiplomasia
Ana kipaji cha uongozi
Ni rika la wabunge waliowengi ktk kipindi hiki
Anaijua ccm ndani nje
Anaijua nchi yetu
Anaweza tumsaidie atalisaidia bunge.
Spika ni Tundulissu,, wengine wachumia tumbo tu
Spika ni Tundulissu,, wengine wachumia tumbo tu
Anaitwa Dr Emmanuel John Nchimbi, Moja Kati Ya Masenior Comredi Ndani Ya Chama Cha Mapinduzi Ni Mtu Mahiri Katika Kile Anachokiamini Na Hafundishwi Punda Kumwita Farasi.
Ni Mwanasiasa Mwenye Nguvu Ndani Na Nje Ya ccm katika Ushawishi na Ukubalikaji wake.
Wasifu wake kiuongozi ni mpana sana Ameanza Kuwa Raisi Wa Chuo Kikuu Mzumbe Akaja kuwa Mwenyekiti Wa uvccm Taifa Akagombea Ubunge jimbo La songea mjini akirisi mikoba ya Laurensi gama.
Amekuwa mbunge kwa miaka kumi na amekuwa waziri kamili katia wizara mbili tofauti Wizara Ya Nyumba Na Makazi Na Wizara Ya mambo ya ndani pia Amekuwa naibu waziri katika wizara mbili tofauti wizara ya habari tamaduni na michezo pamoja na wizara ya mambo ya ndani.
Anasifika kwa uwelewa mpana wa mambo ya kitaifa katika nyanja mbali mbali kijamii kisiasa na kiuchumi.
Ameweza kuwatenegeza wanasiasa wengi mashughuli wakiwemo madc na wabunge wabunge lijalo katika baraza la vijana taifa la mwaka 2008
Makatibu wa uvccm na wa wilaya na mikao ni product yake pia ni mjumbe kamati kuu kwa miaka isopungua 17 anajua ajenda za chama na kitaifa
Kijana na msomi mwenye uwezo wa kulimudu Bunge lijalo la 11
#Twende na Nchimbi Uspika