Hizo ni porojo tu za matapeli, hakuna humble beginnings zozote wala haanzi upya.View attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Kuwa CEO siyo lazima.uwe mmilikiView attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Kuharibu mali za watu wengine ni ujambazi.Kuwa CEO siyo lazima.uwe mmiliki
Tunaomba picha ya mmiliki halisi wa GSMView attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
2005 JK Rais....2006 Lake Oil humbly wanaanza ok basi sawaaaaView attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Utaamini hadi Muarabu wa mwendokasi kumbe ni mwanamtandaoMafisadi wengi nchini wanajificha nyuma ya wahindi na waarabu. Mkinyooshwa wanyonge nao wanafarijika.
Uzuri polepole na minions wake wote washapokea walichostahili shenzi kabisa!Hizo ni porojo tu za matapeli, hakuna humble beginnings zozote wala haanzi upya.
Hivi Kwa nini ukiwa masikini kama wewe hapa unakuwa na hasira na kila mtu? Kwa hii comment hapa anaonekana ni kama wale jamaa wa vyeti feki waliokatwaga na Magu walikuwa na hasira naye Sana ukiwauliza kosa gani wanabaki kukunja Sura tu.Atajua yey si inatuhusu nini