Niwe maskini tajir aikuongezei chochote ktk familia yako, kwanini yeye tu aunguliwe sheli kwanini shabby na ester mbona Abc hajachomewa mbona wengine hawajachomewaHivi Kwa nini ukiwa masikini kama wewe hapa unakuwa na hasira na kila mtu? Kwa hii comment hapa anaonekana ni kama wale jamaa wa vyeti feki waliokatwaga na Magu walikuwa na hasira naye Sana ukiwauliza kosa gani wanabaki kukunja Sura
Jamaa bado una hasira sana tapeli mbowe kukatwa.Uzuri polepole na minions wake wote washapokea walichostahili shenzi kabisa!
yaani kusupport chama unachokipenda ndo nachomewa magari alafu mnaita ndo maandamano?Niwe maskini tajir aikuongezei chochote ktk familia yako, kwanini yeye tu aunguliwe sheli kwanini shabby na ester mbona Abc hajachomewa mbona wengine hawajachomewa
Sio kusapoti tu kuhomola pesayaani kusupport chama unachokipenda ndo nachomewa magari alafu mnaita ndo maandamano?
Hivi Mkuu Siasa hizi za CCM na Chadema ndio zinakutoa utu kiasi hiki hadi kuona kitendo cha binaadamu wenzako kutolewa uhai ni jambo la kawaida na unaongea bila hata roho kushtuka? Mbona watanzania hatuna utu na huruma kiasi hiki?Uzuri polepole na minions wake wote washapokea walichostahili shenzi kabisa!
Kama hujui kitu Bora ukae kimya ...mmiliki WA mabasi ya achimwene ya Mbeya namjua vizuri na najua mtaji alikopata mbona wamechoma mabasi Yake kisa Yana picha ya Samia NyumaNiwe maskini tajir aikuongezei chochote ktk familia yako, kwanini yeye tu aunguliwe sheli kwanini shabby na ester mbona Abc hajachomewa mbona wengine hawajachomewa
Narudia Tena ili Nchi istaaribe ni lazima kuwanyoosha wafitini! Waliokufa barabarani wengi walichochewa na fitinaHivi Mkuu Siasa hizi za CCM na Chadema ndio zinakutoa utu kiasi hiki hadi kuona kitendo cha binaadamu wenzako kutolewa uhai ni jambo la kawaida na unaongea bila hata roho kushtuka? Mbona watanzania hatuna utu na huruma kiasi hiki?
Akifa wa mwenzako ni Minions je akifa mzazi/wazazi/mke/mtoto ama ndugu zako utasema ni Minions? Mkuu ukienda msikitini ama kanisani kusali huwa unareflect haya unayoyawaza na kuyaandika?? Mungu akusamehe sana!
Esther ni za nani?Nilishangaa pia waliposea Esther Luxury ni Bus za Mwigulu Nchemba pale ndo nilipobaini taarifa nyingi si sahihi na wakachoma baadhi ya gari za mtu asie na hatia
Inawezekana hata hata huyu jamaa hakujui wala wewe humjui, kiherehere kinakutuma kumtetea mtu wala humjui. Hao waliokufa ndiyo wamechoma hayo magari?View attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Inawezekana hata hata huyu jamaa hakujui wala wewe humjui, kiherehere kinakutuma kumtetea mtu wala humjui. Hao waliokufa ndiyo wamechoma hayo magari?View attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Weka nyama kidogo mkuukwa kuchoma mali?
Dude hiyo ni public available info, kachunguze tena wenye hisa kubwa na power kwenye hiyo kampuni ni alina naniView attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya