Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

Hizo ni porojo tu za matapeli, hakuna humble beginnings zozote wala haanzi upya.
Unabisha usivyovijuwa. Huyu Awadh ni mtoto wa yule mwarabu owner wa Azania Flour Mills, wana silo zao pale Ubungo Riveside. Alipewa mtaji na baba yake baada ya kurudi masomoni toka USA.
 
na cha ajabu wako proud
WANAOFANYA HUJUMA HIZI NI WAGENI AMBAO HAWATAKI MTANZANIA MZAWA AWE NA MALI. SGR TAYARI IMESHAWAJASIRISHA NA WANAITAFUTA KWA HAMU. WE ANGALIA KIPINDI CHA JPM WAZAWA WENYE MALI TULIOWAPOTEZA

REGINALD MENGI
SABODO
ALLY MFURUKI, NA ORODHA NI NDEFU

MO NAYE WALIMTEKA WAO ILI KUMCHINGANISHA NA SERIKALI, ROSTAM NAYE KELELE NYINGI SANA HADI ALISHAAMUA KUHAMISHIA BAADHI YA MIRADI NJE YA NCHI

NI WAGENI, HAWATAKI MZAWA AWE NA FEDHA.

ZINGATIA KWA MAKIN KILE IPOLISI WALICHISEMA
 
Unabisha usivyovijuwa. Huyu Awadh ni mtoto wa yule mwarabu owner wa Azania Flour Mills, wana silo zao pale Ubungo Riveside. Alipewa mtaji na baba yake baada ya kurudi masomoni toka USA.
Sasa mtoto wa mmiliki wa Azania mills kupewa mtaji na baba yake akaanzishe biashara ya mafuta ni humble beginnings??
 
Ukiwa rafiki wa shetani automatically na wewe unakua shetani.

Kaeni mbali na CCM maana anguko lake li karibu sana.
Wote wanao support CCM wataanguka nayo.
Halafu vituo vya Lake Oil vilivyojengwa kuanzia 2022 kuja 2025 vingi siyo vya Elly Awadh. Bali ni franchise dealers ambao wanatumia "brand yake" na yeye ndipo anawauzia mafuta.

Basically kwenye vituo vilivyoungua waliopata hasara ni wananchi wamili wa vituo
 
Back
Top Bottom