Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

View attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Alipokuwa anahusishwa na Ridhiwani miaka nenda rudi mbona hakukanusha? Uvumi ukiuacha unakuwa ukweli

 
Nilishangaa pia waliposea Esther Luxury ni Bus za Mwigulu Nchemba pale ndo nilipobaini taarifa nyingi si sahihi na wakachoma baadhi ya gari za mtu asie na hatia
Watu siyo wajinga kama wewe.

Watu wanajua kuliko unavyodhani.

Watu kukaa kimya msifikiri hawajui.

Watu wananua kabisa mpaka Mwigulu ameoa kwa Ngasero na ana mabasi yake hapo.
 
Hii risiti kwanini TRA walideactivate QR yake kwenye database zao ?
20251027_051137.jpg
 
Watu siyo wajinga kama wewe.

Watu wanajua kuliko unavyodhani.

Watu kukaa kimya msifikiri hawajui.

Watu wananua kabisa mpaka Mwigulu ameoa kwa Ngasero na ana mabasi yake hapo.
Sipo hapa kubadilisha imani yako wewe endelea kuamini unavyoamini
 
Hivi Mkuu Siasa hizi za CCM na Chadema ndio zinakutoa utu kiasi hiki hadi kuona kitendo cha binaadamu wenzako kutolewa uhai ni jambo la kawaida na unaongea bila hata roho kushtuka? Mbona watanzania hatuna utu na huruma kiasi hiki?

Akifa wa mwenzako ni Minions je akifa mzazi/wazazi/mke/mtoto ama ndugu zako utasema ni Minions? Mkuu ukienda msikitini ama kanisani kusali huwa unareflect haya unayoyawaza na kuyaandika?? Mungu akusamehe sana!
Acheni kutetea wezi na majambazi walichokua wanakifanya ni halali au ni panya road wale wamekuja na style mpya ya wizi
 
Nilishangaa pia waliposea Esther Luxury ni Bus za Mwigulu Nchemba pale ndo nilipobaini taarifa nyingi si sahihi na wakachoma baadhi ya gari za mtu asie na hatia
wabongo ni manyumbu sana nadhani ndo maana hata yakipigwa marisasi huwa sisononeki kabisa tena nataka yapigwe sana mpaka wabaki wenye akili tu
 
Kama hujui kitu Bora ukae kimya ...mmiliki WA mabasi ya achimwene ya Mbeya namjua vizuri na najua mtaji alikopata mbona wamechoma mabasi Yake kisa Yana picha ya Samia Nyuma

Kwa kifupi mmeingia mtego mnawafanyia kazi watu ambao hata hawapo hapa na lengo Lao limetimia. Yaani Mange amewashikia alikili akwaaminisha eti jeshi lipo pamoja na nyinyi wanasubiri mtoke hata 1000 Tu mkauvagaa sasa hivi hata aibu hana anaendelea kuwaseti misukule mjae😆😆😆 halafu yeye anakula kuku marekani
wataendelea kula chuma mpaka wabaki wenye akili tu nyumbu wote wataishia kwenye majokofu na miili wasipewe walpewe samaki maaameeee
 
na waliochoma biashara za mtu mmoja mmoja?
Screenshot_20251108_150519.jpg

hata huyu askari magereza mlipiga risasi na kumuua hakuwa kwenye maandamano na alipigwa mbele ya macho yangu mbwa nyie mnawaza mali badala ya uhai wa watu
 
Kuanzisha kampuni Haina maana utaendelea kuwa mmliki miaka yote

Kampuni inakuwa na
CEO
Directors
Shareholders

Hawa wote unawafahamu kwenye hiyo kampuni au google imekushikia akili
tuseme google ni vichaa tupe wewe data zote za uongozi wa hio kampuni
 
Back
Top Bottom