Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

Mbona watu walianza kuhusianisha na wanasiasa sku nying Kwa nn alkaa kimya muda wote huo naye si angetokeavaseme hawajui hao watu?
kwan wao ni wana siasa kwamba wanatakiwa kutoka na kujibu?
 
tuseme google ni vichaa tupe wewe data zote za uongozi wa hio kampuni
Wewe na akili zako fupi
Umekuja conclude kwamba hakuna watu wengine kwenye hiyo kampuni

Ndo utetea hoja yako
Unawafahamu shareholders wengine wa hiyo kampuni ?
 
unaelewa maaana ya mmiliki?
 
Hii inshu ya mali zilizo haribiwa kuweka wamiliki halali wa mali naona iko promoted na TBC ni km kututoa kwny reli tu
 
mm nikiiba mil 100 si naitumia nchini? maaana yake ni kipato cha mtu mwingine, rushwa sio kitu cha kuanzisha maandamano
Ukiiba unajua usingeiba ni wagonjwa wangapi umewaua kwa sababu nchi haina dawa?? Unajua ninwatotot wangapi wamekosa kwenda elimu ya chuo? Unajua kwa nini tanzania na malaysia zilikuwa sawa mwaka 1960 leo malaysia ni kuzuri kuliko ulaya?? Rushwa ni sawa na kumla mke wa mtu na kujisifu kuwa hela unazomuhonga analea familia yake .unajua watoto wangapi wameishia kuwa mateja sababu ya mama zao kufumaniwa?? Unajua wangapi wameishia vituo vya yatima sababubya ww kutomba wake za watu.ndugu biblia imesema " nawapatiliza wana uovu wa baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao.
Je unajua kwa nini watoto wa mafisadi au watumishi waliotajirikia rushwa wengi huwa mashoga??
 
Nilishangaa pia waliposea Esther Luxury ni Bus za Mwigulu Nchemba pale ndo nilipobaini taarifa nyingi si sahihi na wakachoma baadhi ya gari za mtu asie na hatia
Mwambie Mama yako hawa jamaa wasizijuue asset zake ni zipi na zipo wapi utakua shuhuda
 
Ukiiba unajua usingeiba ni wagonjwa wangapi umewaua kwa sababu nchi haina dawa?? Unajua ninwatotot wangapi wamekosa kwenda elimu ya chuo? Unajua kwa nini tanzania na malaysia zilikuwa sawa mwaka 1960 leo malaysia ni kuzuri kuliko ulaya?? Rushwa ni sawa na kumla mke wa mtu na kujisifu kuwa hela unazomuhonga analea familia yake .unajua watoto wangapi wameishia kuwa mateja sababu ya mama zao kufumaniwa?? Unajua wangapi wameishia vituo vya yatima sababubya ww kutomba wake za watu.ndugu biblia imesema " nawapatiliza wana uovu wa baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao.
Je unajua kwa nini watoto wa mafisadi au watumishi waliotajirikia rushwa wengi huwa mashoga??
unfortunately hakuna cha maaana ulichoongea apo na maskini lazima wawepo, ndo mfumo mzika wa ubepari unavofanya kazi
 
Nawahurumia mamia ya wafanyakazi wa kampuni ya Lake Oil waliopoteza kazi zao, wataanza kutaabika wao na familia zao kisa watu wachache wanaosema "tunaikomboa nchi" as if hiyo nchi iliomba kukombolewa,

#Sijui kwanini ukiwa maskini lazima uwe na roho mbaya
 
Ukiwa maskini ndo maaana halisi ya kulaaniwa 😂
 
Back
Top Bottom