Na facebook pia....unakimbia kivuli chakoooTwitter lianza mwaka huo nayo ni ya jk family
Sipangiwi mdakama ni jambo jema lifanye leo
Rais Haramu.....Mstaafu haramu....kwamba nayo ni ya riziwan
Siasa za uchochezi gani wewe? Wakati anajishikamanisha na Riz One alikuwa anachekelea sasa hivi anajuta nini? Mbona hakujitokeza kukanusha miaka hiyo wakati watu wanaihusisha lake oil na Kwete?ukisoma apo chini nmesema kabisa siasa za uchochezi zmetufikisha hapa, na sio huyo tu shabiby nae alianza kitambo sana
Ni kosa la hukumu ya "KIFO", hivyo ndivyo akili zenu zinavyofanya kazi!kwa kuchoma mali?
Waache ujinga ,Jarcarhire alianza urais 2005 Nov ,miezi michache Lake Oil ikaanzishwa......Nimefuatilia press ya mwakilishi wa wamiliki wa vituo vya mafuta na alivigawa katika makundi:-View attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Sasa mtu kama nawe unajitambulisha kuwa mwenye akili za kujielewa/kujitambua, na kuwaona wengine ndio wenye akili tegemezi?Kama hujui kitu Bora ukae kimya ...mmiliki WA mabasi ya achimwene ya Mbeya namjua vizuri na najua mtaji alikopata mbona wamechoma mabasi Yake kisa Yana picha ya Samia Nyuma
Kwa kifupi mmeingia mtego mnawafanyia kazi watu ambao hata hawapo hapa na lengo Lao limetimia. Yaani Mange amewashikia alikili akwaaminisha eti jeshi lipo pamoja na nyinyi wanasubiri mtoke hata 1000 Tu mkauvagaa sasa hivi hata aibu hana anaendelea kuwaseti misukule mjae😆😆😆 halafu yeye anakula kuku marekani
Hao wenye mali wakisikia rumors kama hizo wawe wanakanusha mapema kama sio kweli. Sema mavyombo yetu ya habari nayo yamekufa badala ya kufuatilia taarifa kama hizo na kuwahoji wahusika wao wanawaza posho za makongamano yanayoandaliwa na akina msigwa.Nilishangaa pia waliposea Esther Luxury ni Bus za Mwigulu Nchemba pale ndo nilipobaini taarifa nyingi si sahihi na wakachoma baadhi ya gari za mtu asie na hatia
Mwenyekiti wa INEC anapaswa pia aww mtaalam wa hisabati/takwimu/data analytics.Waache ujinga ,Jarcarhire alianza urais 2005 Nov ,miezi michache Lake Oil ikaanzishwa......Nimefuatilia press ya mwakilishi wa wamiliki wa vituo vya mafuta na alivigawa katika makundi:-
COCO-Company Owned and Company Operated.
CODO-Company Owned Dealer Operated.
DODO-Dealer Owned Dealer Operated.
Rizmoko na Jahcarhire wanafall kwenye CODO ,Sawa huyo ndiyo mmiliki wa Lake Oil lakini vituo vyake vinamilikiwa na Rizimoko na jarcarhire......Mimi nakijua kituo kimoja cha Lake Oil Mh Rizmoko alikisimamia yeye mwenyewe tena ilimgharimu pesa nyingi sana more than 2B.
Viongozi mafisadi wana inject pesa kwa wafanytabishara wakubwa huku wao wakirun background ,hata SSB mali zake zote ziyo zake ,wapo mawaziri na Rais mstaafu anamiliki Boat za SSB na Ving'amuzi.(Shares).
Tatizo viongozi wetu wanafanya mambo kama watu ambao ni zero brain ,waTZ wa sasa siyo wale wa enzi za nyerere ,wa sasa wana uelewa mpana sana tena kuliko hata wao ,imagine Mwenyekiti wa NEC anapika matokeo ambayo siyo realistic at all akitegemea watu wataBUY upuuzi wake
Duh, hivi unaweza kuridhiana na mtu ambaye hataki maridhiano?sjawahi shiriki huo upuuzi, infact ni vile maadamano yalifanywa mda sa uchaguzi ambapo nchi haina president bado, tunahitaji mtu kama kagame ivi nchi ikae kwenye mstari, maridhiano mama aliofanya ni kama wanamgeuka
Mshenzi mmoja wewe. Adhabu ya kuandamana sio kifo hata adhabu ya kuchoma mali sio kifo. Wewe ukachukua bunduki na kuanza kuwapiga risasi watu, damu hii utailipaKama hujui kitu Bora ukae kimya ...mmiliki WA mabasi ya achimwene ya Mbeya namjua vizuri na najua mtaji alikopata mbona wamechoma mabasi Yake kisa Yana picha ya Samia Nyuma
Kwa kifupi mmeingia mtego mnawafanyia kazi watu ambao hata hawapo hapa na lengo Lao limetimia. Yaani Mange amewashikia alikili akwaaminisha eti jeshi lipo pamoja na nyinyi wanasubiri mtoke hata 1000 Tu mkauvagaa sasa hivi hata aibu hana anaendelea kuwaseti misukule mjae😆😆😆 halafu yeye anakula kuku marekani
Kabisa yaani ameshindwa hata kufikiria katika uhalisia ,ila tatizo ni kwamba matokeo walikuwa nayo tayari kwenye laptop zao miezi mitatu nyuma ,machafuko yamewaharibia hesabu zao za utapeli ,observers wameharibia kwenye ripoti zao maana walijitokeza ni wachache sana hadi kuna baadhi ya vituo vilikosa watu.Mwenyekiti wa INEC anapaswa pia aww mtaalam wa hisabati/takwimu/data analytics.
Hii ndo comment ya Mwenye akili na think tank wa wachoma sheli na Mali za watu.? Kama ni hivyo kazi wanayo hao vijana nadhani wakirudia tarh 9 December usijifiche uvunguni kakae mstari wa mbele ukibeba kidumu cha petrolSasa mtu kama nawe unajitambulisha kuwa mwenye akili za kujielewa/kujitambua, na kuwaona wengine ndio wenye akili tegemezi?
Huu uchizi huwa mnauokota wapi?
Wale vibaka waliokuwa wanaoiba power windows mbona mlikuwa mnawachoma moto.je adhabu ya wizi ni kuchomwa? Sisi hatujapiga risasi mwandamanaji...tumetwanga risasi aliyekuwa anachoma Mali za umma na maduka ya watu.Mshenzi mmoja wewe. Adhabu ya kuandamana sio kifo hata adhabu ya kuchoma mali sio kifo. Wewe ukachukua bunduki na kuanza kuwapiga risasi watu, damu hii utailipa
Jipongeze sana kwa mauwaji uliyofanya. Ila utalipia hizo damuWale vibaka waliokuwa wanaoiba power windows mbona mlikuwa mnawachoma moto.je adhabu ya wizi ni kuchomwa? Sisi hatujapiga risasi mwandamanaji...tumetwanga risasi aliyekuwa anachoma Mali za umma na maduka ya watu.
Kwa akili zako google unaijua na unajua inavyo fanya kazi?kwahio google hawana akili zaidi yako?