stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
- Thread starter
- #161
acha kupotosha umma, huezi kusema kampuni inamilikiwa ivo kisa eti baada ya uraisi kampuni ilianzishwa, huo ni upumbavuWaache ujinga ,Jarcarhire alianza urais 2005 Nov ,miezi michache Lake Oil ikaanzishwa......Nimefuatilia press ya mwakilishi wa wamiliki wa vituo vya mafuta na alivigawa katika makundi:-
COCO-Company Owned and Company Operated.
CODO-Company Owned Dealer Operated.
DODO-Dealer Owned Dealer Operated.
Rizmoko na Jahcarhire wanafall kwenye CODO ,Sawa huyo ndiyo mmiliki wa Lake Oil lakini vituo vyake vinamilikiwa na Rizimoko na jarcarhire......Mimi nakijua kituo kimoja cha Lake Oil Mh Rizmoko alikisimamia yeye mwenyewe tena ilimgharimu pesa nyingi sana more than 2B.
Viongozi mafisadi wana inject pesa kwa wafanytabishara wakubwa huku wao wakirun background ,hata SSB mali zake zote ziyo zake ,wapo mawaziri na Rais mstaafu anamiliki Boat za SSB na Ving'amuzi.(Shares).
Tatizo viongozi wetu wanafanya mambo kama watu ambao ni zero brain ,waTZ wa sasa siyo wale wa enzi za nyerere ,wa sasa wana uelewa mpana sana tena kuliko hata wao ,imagine Mwenyekiti wa NEC anapika matokeo ambayo siyo realistic at all akitegemea watu wataBUY upuuzi wake
unapotakiwa kuthibitisha unatakiwa uwe kama mtu ameenda shule mfano una data za usajili wa hio kampuni ama kuna taarifa za malipo ya siri zilifanyika kwenda kwa huyo mtu apo ndo unakua unatoa data kama msomi, izo porojo za ilianza baada ya uraisi ni upumbavu wa hali ya juu