Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

Tunatarajia serikali safi ndo iwe na kibari cha kusema hivo,je kuiba kura na kuharibu sheli kipi kinaighalimu jamii? Sheli tutakopa tulipe je kiongozi mwizi alieiba kura unajua madhara yake ??ni marufuku kukemea lolote mpaka mkemeaji awe msafi
mm nikiiba mil 100 si naitumia nchini? maaana yake ni kipato cha mtu mwingine, rushwa sio kitu cha kuanzisha maandamano
 
wabongo ni wapumbavu sana, ila mkuu na wewe nakumbuka ulikua ukishabikia hizi vurugu
sjawahi shiriki huo upuuzi, infact ni vile maadamano yalifanywa mda sa uchaguzi ambapo nchi haina president bado, tunahitaji mtu kama kagame ivi nchi ikae kwenye mstari, maridhiano mama aliofanya ni kama wanamgeuka
 
Lete usajili toka brela,nyi mbwa mna chuki sana,wakati wenzenu mitaji midogo wanaikuza kwa uvumilivu,nyinyi mlibadili suti,pombe na wanawake,na kununua magari ya mtumba
1762258580050.jpg

shabiby wa watu ona alipoanzia
 
Nilishangaa pia waliposea Esther Luxury ni Bus za Mwigulu Nchemba pale ndo nilipobaini taarifa nyingi si sahihi na wakachoma baadhi ya gari za mtu asie na hatia
Matajiri wengi hapa mjini wanabadili umiliki, hawaandiki majina yao halisi kwenye mali zao.
 
Back
Top Bottom