Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,292
- 24,746
Nimewaza tuuuu jiwe gizaniii kwani limekupa amii???Uchaguzi 2005 ulifanyika mwezi gani?.. biashara iliyoanzishwa 2006 ni lake oil tu?
Nimewaza tuuuu jiwe gizaniii kwani limekupa amii???Uchaguzi 2005 ulifanyika mwezi gani?.. biashara iliyoanzishwa 2006 ni lake oil tu?
Mafisadi wengi nchini wanajificha nyuma ya wahindi na waarabu. Mkinyooshwa wanyonge nao wanafarijika.
Sisi inatuhusu nini? Apambane na hali yake ikibidi aende kwa wahuni kuomba msaadaView attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Ukiona mtu anaongelea mambo ya vyeti feki basi jua hamna kitu hapo. Anadhani kila mtu anategemea cheti.Hivi Kwa nini ukiwa masikini kama wewe hapa unakuwa na hasira na kila mtu? Kwa hii comment hapa anaonekana ni kama wale jamaa wa vyeti feki waliokatwaga na Magu walikuwa na hasira naye Sana ukiwauliza kosa gani wanabaki kukunja Sura tu.
Kwani hawezi kutumiwa na hao wakubwa kuficha mmilki?View attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Kwani maana ye neno humble ni nini?Sasa mtoto wa mmiliki wa Azania mills kupewa mtaji na baba yake akaanzishe biashara ya mafuta ni humble beginnings??
Wana-Msoga wamewekeza mabilioni humo, wananzengo wana data za kutosha. Hiyo ipo sehemu nyingi duniani ambapo wanasiasa wabadhilifu huwekeza kwenye biashara ambazo ziko established pasina kutaka kujulikana, there is no secret under the sun.View attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Collaboration na wezi nawe unakuwa mwizi tu, hakuna biashara iliyochomwa bila sababu.ukisoma apo chini nmesema kabisa siasa za uchochezi zmetufikisha hapa, na sio huyo tu shabiby nae alianza kitambo sana
Bila shaka na huyo mama yenu umemjumuisha. Bila kukusahau na wewe.wabongo ni wapumbavu sana
Kwani taarifa zilizopo Google zimetoka mbinguni? Wewe wa wapi wewe?kwahio google hawana akili zaidi yako?
'Humble begining' za kuwaua waTanzania,... stupid.Hizo ni porojo tu za matapeli, hakuna humble beginnings zozote wala haanzi upya.
Kwamba CEO wa voda ndiye mmiliki wa vodaView attachment 3497159
Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
Wewe ndiye hawara wa huyo unayemwita mmiliki? Tuoamini google kuliko Brela?kwahio google hawana akili zaidi yako?
It's not about google. It's about who truly owns Lake Oil Companykwahio google hawana akili zaidi yako?