Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

Nitajie Hali mbovu ya hapa nyumbani kuizidi Somalia Congo na Libya? Tatizo lenu ni wavivu hamna tofauti na wasouth ndo maana kuna maCEO kutoka Kenya kibao ....kazi yenu nyie ni kulalamika Tu na umbeya mitandaoni.
 
Hawa waTanzania wanao uliwa wewe unafikiri ni kondoo?

Huyu kiongozi na Genge lake kung'ang'ania kuwa madarakani wewe unafikiri ni hali inayofurahisha?

Hizo nchi ulizo zitaja hapo wao walianzia wapi hadi wakafikia hapo walipo sasa!

Ni hivi, naelewa matumaini yenu yalipo; kwamba mtalazimisha AMANI kwa kutumia mitutu ya bunduki..., huu ndio upumbavu wa akili zenu
 
Wewe ulisha jieleza vya kutosha, najuwa huna hata chembe ndogo ya utu, kama alivyo Samia Suluhu Hassan.

Tutawasafisha nyote.
we ushakuaga na utu kwa wahalifu? alafu wenzako wamejitokeza wewe bado uko hao umesaliti wenzako
 
we kama huna kazi tuliza komwe subiria dec tuchape kipara icho
 
we ushakuaga na utu kwa wahalifu? alafu wenzako wamejitokeza wewe bado uko hao umesaliti wenzako
Wahalifu pekee sasa hivi wanaojulikana ndani ya nchi hii ni hao wanaokufuga wewe, Samia na Genge lake.
 
Wahalifu pekee sasa hivi wanaojulikana ndani ya nchi hii ni hao wanaokufuga wewe, Samia na Genge lake.
ushamaliza kuzika nn, naona unajiandaa kwa raundi ya 2
 
ushamaliza kuzika nn, naona unajiandaa kwa raundi ya 2
Samia na Kikwete wamewatengenezea janga ambalo hamuwezi kujinasua nalo tena. Jiandae tu kuishi tofauti na unavyo ishi sasa kama mfugo wa watu wengine.
 
ni vizuri kuwaza ivo, punguza maneno ingia uwanjan dec
Ninachojuwa bila ya shaka yoyote sasa, makombo unayo pata toka mezani kwa Samia yatakoma. Elekeza akili yako jinsi utakavyo ishi bila ya kumtegemea huyo mfugaji wako.

Unapoteza tu muda wako humu kuzungumzia jambo ambalo mfugaji wako hana uwezo tena wa kulizuia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ amna kitu kizuri kama kujipa moyo, ni hivi mzee hakuna kucheka na ngombe ni shaba unachomwa mwisho wa story
 
Samia na Kikwete wamewatengenezea janga ambalo hamuwezi kujinasua nalo tena. Jiandae tu kuishi tofauti na unavyo ishi sasa kama mfugo wa watu wengine.
kwan mm naishi vp? πŸ˜‚πŸ˜‚ mbna mm naishi kawaida sana ama umeona nn kwenye kuishi
 
kwan mm naishi vp? πŸ˜‚πŸ˜‚ mbna mm naishi kawaida sana ama umeona nn kwenye kuishi
Kuua waTanzania ili upate makombo toka kwa Samia ndiko unakokuita "kuishi kawaida"?

Umeaathirika; na huna maisha tena ya kufurahia hayo makombo unayotupiwa na Samia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ amna kitu kizuri kama kujipa moyo, ni hivi mzee hakuna kucheka na ngombe ni shaba unachomwa mwisho wa story
Tunasafisha nchi yetu. JJiandae kwa hali ngumu inayokuja kukukabiri wewe.
Mlijipenyeza ndani ya chama cha mapinduzi na kukitumia kufanya uovu huu, sasa kinga hiyo haitakuwepo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…