aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Dec 21, 2022 Thread starter #41 Action and Reaction said: Hakuna kitu kinachoshangaza duniani kama kuwaona baadhi ya watu wako mbele ya muda! Ndo ujue kuna watu wanaishi ukimwengu huu na ule usionekana! Click to expand... Kuna mazuzu wapo zao huko mvuti wanaleta ubishi wa kunya
Action and Reaction said: Hakuna kitu kinachoshangaza duniani kama kuwaona baadhi ya watu wako mbele ya muda! Ndo ujue kuna watu wanaishi ukimwengu huu na ule usionekana! Click to expand... Kuna mazuzu wapo zao huko mvuti wanaleta ubishi wa kunya
The best 007 JF-Expert Member Joined Oct 6, 2019 Posts 41,015 Reaction score 93,277 Dec 28, 2022 #42 aka2030 said: Bro kutokana na hali ya hewa ilitangazwa mapema mbona soma hii link ya mwaka 2015 inaonekana umeanza shabikia mpira 2020 Soma hii Click to expand... Mkuu baada ya kusoma nikaona hakuna utabiri wa kutisha apo, ni sawa na Tz ishiriki alafu wewe ni mtz useme Tz itabeba. Uyo jamaa kama angekuwa raia wa nchi nyingine alafu tarehe ya fainali isingetajwa kabla basi angekuwa mtabiri bora kuwahi kutokea.
aka2030 said: Bro kutokana na hali ya hewa ilitangazwa mapema mbona soma hii link ya mwaka 2015 inaonekana umeanza shabikia mpira 2020 Soma hii Click to expand... Mkuu baada ya kusoma nikaona hakuna utabiri wa kutisha apo, ni sawa na Tz ishiriki alafu wewe ni mtz useme Tz itabeba. Uyo jamaa kama angekuwa raia wa nchi nyingine alafu tarehe ya fainali isingetajwa kabla basi angekuwa mtabiri bora kuwahi kutokea.