Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu baada ya kusoma nikaona hakuna utabiri wa kutisha apo, ni sawa na Tz ishiriki alafu wewe ni mtz useme Tz itabeba. Uyo jamaa kama angekuwa raia wa nchi nyingine alafu tarehe ya fainali isingetajwa kabla basi angekuwa mtabiri bora kuwahi kutokea.Bro kutokana na hali ya hewa ilitangazwa mapema mbona soma hii link ya mwaka 2015 inaonekana umeanza shabikia mpira 2020
Soma hii