Huyu ndio mtoto mwenye akili nyingi kuliko wote Tanzania 2024

Huyu ndio mtoto mwenye akili nyingi kuliko wote Tanzania 2024

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Huyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu.
Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi

Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo wa elimu yetu.

Mtumie huyu mtoto kuonyesha ukuu wako.

Amen na Jumapili njema

WE PROTECT THIS YOUNG ANGEL BY BLOOD OF JESUS. AMEN
 
Huyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu.
Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi
View attachment 3159995
Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo wa elimu yetu.

Mtumie huyu mtoto kuonyesha ukuu wako.

Amen na Jumapili njema
Mbona kama mchongo huo
 
Siyo kweli maana hii video siyo ya jana wala leo,, na huyo wala siyo mtoto wa kwanza,, ingia YouTube 'search video za kufanana na hiyo uone kama hutopata zingine kama hiyo 😎

Baada ya hapo utaamua mwenyewe sasa kama ni script inaandaliwa au ni vip?
Ni vyema tuwe tunaleta video kama hizo hapa jukwaani ili kuutukuza ukuu wa Mungu.
 
Back
Top Bottom