Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mbona kama mchongo huoHuyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu.
Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi
View attachment 3159995
Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo wa elimu yetu.
Mtumie huyu mtoto kuonyesha ukuu wako.
Amen na Jumapili njema
Ni liveMbona kama ni script tu hiyo 😎
Mchongo kivipi mkuuMbona kama mchongo huo
Msikilize vizuriKipi kinamfanya awe bora zaidi?!
HauaminiSinema hizi ...
Mambo ya Mungu hayoHamna kitu hapo
Siyo kweli maana hii video siyo ya jana wala leo,, na huyo wala siyo mtoto wa kwanza,, ingia YouTube 'search video za kufanana na hiyo uone kama hutopata zingine kama hiyo 😎Ni live
Sio kweliMambo ya Mungu hayo
Msikilize vizuri
Ni vyema tuwe tunaleta video kama hizo hapa jukwaani ili kuutukuza ukuu wa Mungu.Siyo kweli maana hii video siyo ya jana wala leo,, na huyo wala siyo mtoto wa kwanza,, ingia YouTube 'search video za kufanana na hiyo uone kama hutopata zingine kama hiyo 😎
Baada ya hapo utaamua mwenyewe sasa kama ni script inaandaliwa au ni vip?
Ukuu wa Mungu huoKujua vitabu vya kwenye biblia?! Ila sisi watanzania tunajifanyaga wanafiki sana issue ikiwa inahusisha Mungu! Kuvitaja hivyo vitabu haitoshi ila kuishi kulingana na yaliyoandikwa humo!!!!