Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Si ndio maana hauna vigezo!!!
Mimi sitakiwi kuwa na vigezo, ninaekwenda kumuoa ndio anatakiwa awe na vigezo ninavyotaka mimi, nikifuata vigezo anavyotaka yeye kwangu basi atakuwa yeye ndio kanioa, itabidi akatoe mahali kwetu halafu aniweke ndani awe ananihudumia, maana nimekidhi vigezo vyake.
 
Watu wapo makini na chura, hawaulizi mengine. Kazi kweli kweli
 
Umri haina shida mnaweza kubargain tu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Dhehebu si unabadili unamfuata wifi.
Akikubali bargaining ya umri...sawa

Akikubali kubadilisha dhehebu yeye sawa, ila sio mimi nibadilishe dhehebu.

Hapana asilani.
 
Umri haina shida mnaweza kubargain tu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Dhehebu si unabadili unamfuata wifi.
Subiri tu utampata wifi bomba...mwenye vigezo ninavyokidhi.
 
Ukikua utajua.
 
Asiwe mhaya doooooh?kwn wahaya tuna nn dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…