Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

wa ovyo? niombe samahani mm sio malaya yote uloyaandika nimekubali ila kuniita malaya imeniuma sana ungejua nina mda gani sijakutana na mwanaume usingeropoka hapa. anyway nisamehe tu nilivyokujibu.
 
mmiriki,mira...hongera kwa kuleta misamiati mipya
 
Nikiwa Nimechoka na mizunguko yangu, huwa napitia comments za wadau humu Jf ili nipate ku refresh. You guys you are so funny
 
kwa mwandiko huo [emoji23][emoji23][emoji23]usiache kuleta mrejesho dada
 
sifa zote hizo,ni dalilj kwamba huyu ni pasua kichwa
 
nisamehe tuuu nakuomba
 
Kuabudu sanamu ndio kumekukosesha mume. Pole na kwaheri.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…