Inna morata
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 370
- 268
- Thread starter
-
- #461
fanya kunisamee tu maama nina feeling fulani, wenda nimekosea jinsi ya kuandika nisameheTatizo dada umetaja sifa nyingi zaidi ukapitiliza, matokeo yake sio kutafuta mume zaidi za kudhalilisha utu wa mwanaume. Eti asiwe anamiliki smartphone na P.umb.u lugha gani hii sasa, alafu unasema mcha Mungu. Pia unasema awe na wazazi wote kuna mtu anaependa kufiwa na mzazi?? Tena mama.
Nakwambia we dada utazekea nyumbani bila kupata huyo mume, muombe Mungu akupe maarifa na hekima. Acha majivuno na sifa za kijinga.
nisamehe nimekosea jinsi ya kuiweka sana nisamehe sawa??Umekosea mara 2 hapa:
Kigezo no. 1 umetutenga na kututonesha donda sie tuliokwishapoteza mama zetu tuliowapenda sana. Mungu anakuona!
Kigezo no. 13 unamtaka mwanaume mwenye miaka 34+ (na umesema umri huo ni lazima) ila asiwe aliwahi kuoa wala kuzaa mtoto. Kwa umri huo kama utampata ujue basi huyo sio rizki...
ze ngapi?Kigezo cha miaka 34+ ndio kimefanya nikukose..
Punguza kidogo..
nisamehe nimekosea jinsi ya kuiweka sana nisamehe sawa??
nipungu
ze ngapi?
hii ni dunia ukisoma uzi wangu hakuna sehemu nilipo weka umbo wala sura wala shape ila ninachoamini mungu kanipa kichwa kizuri hilo ndo nalijua na ninajua kukitumia. kwa nini uko selefish? yaan yote niliyoyaandika neno IQ ndo limekuboa? once again am sory tuishie hapa.Sina cha kukusamehe maana hujanikosea kitu, ukweli upo hivi binafsi God blessed me with karibu na kila kitu ulichoandika, ingawa mchumba wangu ni mdada wa kawaida mno, ila ana IQ kubwa mno, me the same ila sikuwahi kufikiria kuwachagua wanawake kwa sura, maumbo yao, akili zao, zaidi nilimwomba Mungu akanipa moyo wa kutowapenda wanawake wahuni, malaya, wenye majivuno na wenye dharau hakika Mungu siyo John wala Abdarallah nashukru ameniepusha na wadada kama wewe.
Nasikitika kuwa unadai kuwa na IQ kubwa but sina uhakika, mwisho mke/mume bora utoka kwa Mungu. katubu...!
bikra imefanyaje? kula ugali ulaleKAMA WEWE UNA SIFA HZO KWELI BAS TAFADHALI
1. TUMIA ID YAKO YA KILA SIKU
2. HATA KUTAJA 'PUMB.U' HUJAONA UZITO, INAELEKEA UNA MATUSI NA MSHARI
3. HAYO MATUMIZI YA R HATARI.
4. WANAUME WA SIFA UNAZOTAKA WAMEJENGWA NA WACHUMBA ZAO WAKAWA HVYO.. WALIKUWA WACHAFU SASA NI WASAFI, WALIKUWA HAWANA KITU NW WANA KITU..
5. KAMA UNATAKA MWANAUME ALYETIMIA VIGEZO VYOTE, BAS NENDA KIWANDA CHA SEX DOLLS WAKUTENGENEZEE.
KILA LA HERI, UKIFIKA MIAKA 35 RUDI HAPA UKIWA NA VGEZO VIPYA.
SWALI LA KIZUSHI.
JE, WEWE NI BIKRA?
Ushawahi toa mimba ngapi??