Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Mkuu mi ningeshaurifanya kunisamee tu maama nina feeling fulani, wenda nimekosea jinsi ya kuandika nisamehe
Usisahau tuu kuwa alipo bwana na bibi yuko pembeniSijawah kusikia Gulio au Mnada wa wanaume ningekushauri uende gulioni na minadani.
Mafundisho yanasema mume/ mke bora anatoka kwa Bwana, huyo mume umtakae pamoja na ww nyie sio wa ulimwengu huu kwa maana hamtok kwa bwana, kama umeweza kupanga sifa za umtakae bila ubishi ukimpata utaweza kumpangia vya kufanya.
Safi kabisa mkuu. Agiza soda nakuja kulipia [emoji23]Mwanaume
[emoji778]️ miaka 34 awe na mama mzazi
[emoji778]️ mwanaume awe mwembamba alafu miaka 34 ukimpata bahati! Na ukimpata ashaelemewa na kitambi cha bia
[emoji778]️ mwanaume miaka 34 awe tu ana kusubiri wewe hasiwe ata na mtoto wa kusingiziwa a kusubiri wewe tuu
Weka miaka yako nawewe tupime kama unafaa.
Weka na kipino chako cha IQ hapa.
Weka picha tuone kama umebarikiwa zawadi ya kudumu wo x3
N.B. Katika maisha hakuna competition, kila mtu ana timeline yake anayo tembelea. Usipende competition. Maisha hayana wa kwanza wala wa mwisho.
Usisahaukuleta mrejesho utakapo mpata
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Mungu hawezi kusikiliza masharti ya kipuuzi kama haya mkuuNakushauri usifanye matangazo ya mume mitandaoni, kama Kweli ni mcha Mungu, mwombe Mungu kwa imani atakupa anayefanana na wewe, kuna Siri kubwa kwa Mungu Kuhusu mume/mke, Kwani Mwenza mwema ana zaidi ya sifa ulizozitaja, unaweza pata mwenye sifa hizo ukashangaa msimalize hata mwaka, sifa za macho hazitakupa furaha kwenye ndoa, NARUDIA mume ni zaidi ya sifa uzitakazo. Mungu peke ake atakupa akufaaye, ila uwe mcha Mungu kwelikweli na kumbuka ucha Mungu sio kuacha uzinzi tu, ni pamoja na ulevi, umbea, uchoyo, dharau, kiburi, fitina na mengine yanayofanana na hayo bila kusahau kusamehe, kuwaombea na kuwajali wengine na kuwa mtoaji kwa wahitaji na kanisani (kama bibilia inavyoelekeza)
Ukipapata panaweza geuzwa machimbo ya wanaume walio na sifa nyiiiiingi mnoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uhakika gan unaoutaka ilhali sina mawasiliano na Mungu, jana Eden Hazard akiwa kwenye ubora wake nilimpga mtu goli4 hivyo ratba ya mpira haipo leo bali nipo nafuatilia huyu mwanaume msafiiii mweusi kidogo mwenye kamradi aliyewah kwenda nje ya nchi + sifa zingine ni wap atatokea kwenye Tanzania hii maana Tanzania imebarikiwa kila kitu
namjua mungu kuzidi wewe. wewe una hasira zako nenda kaangalie mpira Barcelona wanachezaHivi vigezo vingine mnavyovitaka mtakuja kuolewa na mapepo nyinyi wadada wa siku hizi za mwisho! Angalia usije ukataka mwanaume unaye mtaka aje na machozi ya samaki au sharubu za simba jike! Hivyo sio vigezo ila ni "Masharti ya kiuganga wa kienyeji" na kwa Masharti hayo, trust me utasubiri sana! Wapo walioweka Masharti ya ajabu kama hayo wakaishia kuolewa na waendesha guta tu (Ushahidi ninao). Sisi wakristo tuna amini mke /mume mwema anayetoa ni Mungu, sasa kampangie Mungu hayo Masharti ya kipepo uone kama hujawa Ajuza na hata wa kukutania tu kukuita mchumba usipate!!!! Kwanza unatoa vigezo vyote hivyo kwamba wewe ni malaika? Au ni BIKIRA? Any ways, najua nitakuwa nimekukwaza lakini utakuja yakumbuka haya maneno yangu
Safi kabisa mkuu. Agiza soda nakuja kulipia [emoji23]
Sifa zote ninazo ila nataka Kitu kimoja tu toka kwako “BIKRA”
Kama ipo njoo PM tuyajenge.
Naomba nikuone
Trust meMungu hawezi kusikiliza masharti ya kipuuzi kama haya mkuu
Ujue kumbe hata wewe bado unamapungufu mkuuumetumwa bikra na mganga?
Anaye mjua Mungu hawezi kuandika masharti ya kichawi kama haya. Pili mimi sipo interested na mpira hasa wa Ulaya. Tatu siwezi kukuoneshea hasira zangu wakati hujanikosea. Tunachosema hapa ni ushauri, unaweza ukachukua au ukaacha ila usije ukasema hatukukuambia.namjua mungu kuzidi wewe. wewe una hasira zako nenda kaangalie mpira Barcelona wanacheza