Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Hujagusia suala LA KIBAMIA,,, tuanzie hapo kuna kwnz.. Ili pia wasijisumbuwe
 
Tangazo lako lina mapungufu kdg bibie...weka japo kapicha tuone jee chura yupoo???
 
Wakuu salaam.

Kwa malezi niliyolelewa mimi sistahili kufanya ili jambo, pia kwa mira na desturi za kiafrika sistahili kufanya hiki kitu, lakini huu moyo ni wangu, na mmiriki wa moyo wangu ni mungu. Sasa nikajiuliza kwa nini niendelee kuumia? Hakuna sababu ya kuendelea kuumia? ingawa najua mwanamke kumtafuta mwanaume ni aibu kubwa, ila nikawaza kwakuwa kuna sababu ambayo najua ni muhimu sana akipatikana na nikampenda nitamuweka wazi na atanielewa. Mamayangu amenilea vizuri kwa maadili na heshima, nina Imani ninachokiandika hapa mungu yupo anashuhudia,

Wale mtakaokuja kuniponda eti kwa nini nitafute mtandaoni huku niishiko hawapo? Jibu ni kwamba wapo kibao na wengine nikiri wananililia kunioa but, for the sake of my heart wacha niweke wazi mwanamme ninae mtaka staki wahuni mm sio mhuni mung undo shihidi.

SIFA ZA MWANAUME NINAE MTAKA.

1. Awe na mama yake mzazi/mlezi lakini akiwa na wazazi wot itapendeza sana.kama hana wazazi basi sawa ni mpango wa mungu ingawa itaniuma sana,

Why awe na mama yake? wakuu nataka kumuona huyu mwanamke duniani kote yeye ndo atokee anizalie mme? Nataka kumuona nimwambie ‘mama asante kwa kubeba mimba miezi 9 ukanizalia mwanaume wa ndoa nitakupenda kama mama yangu mzazi.’

2. Awe msafiiiiii. Narudia tena awe msafi kupitiliza spendi mwanaume mchafu sipend aina yeyote ya uchafu, No no nataka siku nikikutana nae macho yangu yadhibitishe kuwa ni msafi,yaan kuanzia kwake ndani mavazi awe smart.

3 Awe mrefu.

4. Rangi Yeyote hainipi shida ila akiwa na ka uweusi Fulani atanoga

5. Awe anajua kuvaa. kama hajui kuvaa smart nitamfundisha hii sector niko vizuri sana

6. Asiwe mwembamba. nataka zawadi za nguo nitakazokuwa nampa zimkae vizuri yaan awe na body size ya kati.(gentleman

7.Awe ana upendo. jamani kama mimi.nasisitiza kama una roho ya paka usijidanganye nataka nionje taste of love

8 Awe ana care, jamani awe na mkono mwepesi hata akinipa pipi ina thamani kwamgu, namiss hii kitu mm natoa sana nikimpenda mwanaume siwezi kutoka mjini bila kumnunulia chochote nguo ndo usiseme.

9.Awe kristo rc na mcha Mungu

10. Awe na miaka 34+ ni lazima.

11. Awe ameshafika stage Fulani ya maisha. Staki mwanaume tegemezi, atleast awe na mradi mmoja wa kumuingizia pesa tofauti na ajira.staki mwanaume mzembe ambae hajui kutafuta pesa. Inshort awe na mipango ya kuwa somebody na future nzuri .staki mwanaume anaemiliki p.u.m.b.u na smartphone.mm ni mtafutaji staki mwanaume wa ovyo.

12,Awe na kucha zote miguuni, napenda weekend nikimkata vizuri kucha zikae fresh avae sandles sometimes pensi fulan amaizing atoke bomba.

13 Asiwe alishawahi kuoa wala kuwa na mtoto nje ya ndoa, Mtoto ni Baraka ila watoto wa nje ya ndoa wanaleta migogoro .staki mme wa mtu mm.

14. elimu degree, masters phd vyote sawa.
15 asiwe mhaya .plz naomba msinielewe vibaya samahani sana mnisamehe


SIFA ZANGU

1. Namshukuru mungu kunipa upendo nina upendo kwa kila mtu

2. Mimi ni msafiiiiiiiiii yaaani ni msafiiiii kupitiliza

3. Nimeajiriwa ila nimejiajiri kimradi changu kidogo pemben tho sipendi kuajiriwa ndo mana nataka mwanaume ambae atanipa sapport tupanga miradi tuwe na maisha bora.

4. Elimu –degree

5. Rangi –mweusi kiasi

6. Urefu size ya kati umbo mm sio bonge.

7. nacare sana nikimpenda mtu nampenda kwa vitendo

8. Sijawahi kumsaliti mtu

9. Dini mkristo –rc

10, najitegemea sitegemei mwanaume vitu vidogovidogo nina uwezo navyo in short mm ni mtafutaji.

11mimi ni mcha mungu.

12 napenda sana competition sipend mme wangu azidiwe na wanaume wengine hasa kimaendeleo

13 sina mtoto na sijawahi kuolewa.

14 nina akili ya maisha yaani IQ yangu ipo juu saa upstairs niko vizuri.

15 Mm ni mchangamfu sana mcheshi namshukuru mungu kuniumba hivi.

16. mm ni mvumilivu ila ikiwa too much, siwezi kuvumilia tena.

N.B. Mimi ni binadamu sijakamilika nina mapungufu yangu lakini hivyo kidogo mungu alichonijalia kinaendana na ukweli niliouandika hapa. hasa sifa zangu.


NOTE. Ningependa nikutane na mwanaume ambae alishawahi kuishi nje nchi yaani ana exposure ya mambo mengi nina sababu ya msingi hasa kimaendeleo / biashara LAKINI AKIDHI VIGEZO VYOTE NO 1-15 . lakini kama hajawahi kuishi nje na ana vigezo hakuna mbaya najua nikiwa nae tutafika mbali.


NINAVYO MISS.

1. Mme wamgu uko wapi? Nimekusubiri nimejitunza nimechoka kukusubiri

2. Nimemiss kukumbatiwa miaka sasa

3. Nimemiss kukiss staki kukiss na jitu la ajabu lichafu

4. Nimemiss kubebwa

5. nina upweke staki kukaribisha vijianaume vya ajabu kwangu

6. Uko wapi baba nikupikie uone ninavyojua kupika.

7. Njoo uone nilivyo msafiii sijawahi kuingiza mwanaume kwangu njoo uone kwangu nilivyo msafi

8. Njoo uone ninavyojipenda

9. Njoo nikuoneshe upendo
10 Njo baba mama yangu anataka kukuona.
11. Namiss neno baba njoo nikuite baba.

Kiukweli nimeniss vingi sana sio kwamba nilipo hakuna wanaume wapo wengi kazini ila nataka wangu wa moyo nimuoneshe upendo nae anioneshe maana hiki ndicho ninachokimiss kutoka kwa mtu nimpendae.

Mwisho mm ni mwanamke ninaejitambua wale ambao mtakuja hapa kunitusi eti nichonge au nizae mme wangu nawaomba tafadhari mkae kimya najua ninachokita. na nina imani huyu mtu mwenye sifa hizi yupo.

Angalizo.

kama unajua huna vigezo hivyo hapo juu plz usijisumbue kuja pm maana niko makini, najua kuna vitoto vinavyomiliki laptop baada ya kupaya mkopo wa board vitakuja plz tuheshimiane ninaomba.



Karibuni.
Mkuu ungepitia kwanza wenzio waliofanya hivo walifanyeje na uzoefu unasemaje??

Hapa nadhani ungetoka na mawazo m badala sana kuliko hivi ulivoongea kwa hasira.

Angalizo:-
Mpaka unamaliza digrii mwanaume aliyemaliza digrii kashakushusha kwenye cv zake.
Hawa nao waliomaliza digrii amini usi amini kigezo cha wewe kuwa na digrii kinakushusha cv binti yangu.

Ningependa kuliko kutanguliza vigezo vingi kama unatangaza kazi TRA, ni bora ungemtanguliza Mungu kwanza.


Kujiamini kwa mwanamke kuliko pitiliza, mwisho wa siku humletea majuto maishani, kwani humjengea kiburi na jeuri.


Usifikirie kuwa wale walio masingo mama kuwa hawakuwa na akili na malezi kama uliyo nayo,
Naamini wengine watakuwa wanakuzidi kwa kila kitu mpaka kipato.

Kwa hiyo upunguze dharau wewe hujawahi sema kweli hata kidogo.

Bali muda ndio msema kweli.

Naamini ukikazana hivi kwa kumwacha Mungu nyuma itakuwa ni chanzo cha masingo mama na watu waliopitwa na muda wa ndoa.

Mtangulize Mungu kwanza kwa kila jambo.
 
Si ndio maana ukanigandaaa kama luba.
Na ungekuja nikiwa sina mtu ndoa ingekuhusu. Hao wamasai wangetaka ng'ombe mia tano ndio wangetujua wapare. Ningemtonya mzee mzima wamwananyamala mshana na tungewatengeneza hao wamasai na chumambele zao tungewaletea mbuzi mmoja tu dadeki
Hahah alafu ww unasifa zote ujue nilikuaga nakumezeaga mate zamaniii nkiwa na id nyingine...tatizo lako we ni mojaa kuchepukaaa..
Namwonea huruma mama A sijui hajakushtukizia bado
 
Okay me sina sifa hata moja hapo,yaani kila sifa uliyohitaji mimi ni kinyume chake mkuu,unajuaje we ni msafi?okay ume miss kukiss,ulishakiss?umemiss kukumbatiwa?je umewahi kufanya hivyo?kwa sifa ulizoweka naomba unitoe khofu kwamba kwa vile ni mcha mungu hujawahi kugegedwa.Malizia sifa zako kama upo sealed?
 
Kwa vigezo ulivyo vitaja hakuna mwanaume mwenye navyo vyote hapa dunia, labda angalia sayari nyingine zilizobaki tofauti na dunia.
 
Sifa zako ulizotaja ni basic sana.so taja zingine kama unazo kumfanya mtu wa aina unayemtaka ajisumbue kukutafuta.

Otherwise sifa zako ni za kwaida sana wako wengi wenye sifa kama hizo.

Lakini pia hongera kwa kujaribu kujipambanua vizuri.
 
Back
Top Bottom