Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hata ajira ya upolisi haina masharti kama hayo.
Wasubiri wanakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hata ajira ya upolisi haina masharti kama hayo.
Wasubiri wanakuja
wewe umri unataka wa nini, ulishawahi kuona mwanamke anamzidi mwanaume umri? kama nina tala mwanaume 34 jua mimi niko chini. usipanic kanywe chai bado ni asubuhiUmri wako tafadhali.
dia relax wacha kutukana hili uonekane unanijua,mimi sijasababisha vyuma vikaze na vile huna kazi bas tukana upewe cheti. tafuta pesa najua stress zinakusumbua.Wewe ni kapuuzi kamoja tu ivi ambako kalivyokua chuo kameshushwa injim Mara kadhaa
Stress ndo nini ?? Vyuma vikaze ,vianzie wapi na vipitie wapi ??? Au kadegree kako uchwara tena Ka Sanaa ndo kanakupa Bichwa ?? Wee nikajinga Ka viwango vya juu !!.dia relax wacha kutukana hili uonekane unanijua,mimi sijasababisha vyuma vikaze na vile huna kazi bas tukana upewe cheti. tafuta pesa najua stress zinakusumbua.
Umetumika weee sasa hivi ndiyo unajifanya smart na bwawa lako.,bikra mmetumwa na m,ganga baada ya kukosa kuku mweupe?
sinaaaaa una jingine?Vipi kuhusu makwapa ule weusi upo au hakuna
mganga amekutuma chura yangu?Mbona ujasema kama chura unayo au ???
tress za kukosa kazi hivi magufuri si uajiri hawa watoto? maan sasa inakuwa kero wanashinda wanazunguka na bahasha akifika nyumbani hana hata mia anaamua kuleta strees jf pole mdogo wangu, najua hali unayoipitia ndo inakufanya uropoke poleUmetumika weee sasa hivi ndiyo unajifanya smart na bwawa lako.,
Mwenyezimungu anasema mzinzi ataowa/kuolewa na mzinzi mwenzake. Kwa hiyo jiandae tu kisaikologia.
Nimekukosa, ila wenzagu wapo humu wakukupata..Wakuu salaam.
Kwa malezi niliyolelewa mimi sistahili kufanya ili jambo, pia kwa mila na desturi za kiafrika sistahili kufanya hiki kitu, lakini huu moyo ni wangu, na mmiliki wa moyo wangu ni mungu. Sasa nikajiuliza kwa nini niendelee kuumia? Hakuna sababu ya kuendelea kuumia? ingawa najua mwanamke kumtafuta mwanaume ni aibu kubwa, ila nikawaza kwakuwa kuna sababu ambayo najua ni muhimu sana akipatikana na nikampenda nitamuweka wazi na atanielewa. Mamayangu amenilea vizuri kwa maadili na heshima, nina Imani ninachokiandika hapa mungu yupo anashuhudia,
Wale mtakaokuja kuniponda eti kwa nini nitafute mtandaoni huku niishiko hawapo? Jibu ni kwamba wapo kibao na wengine nikili wananililia kunioa but, for the sake of my heart wacha niweke wazi mwanamme ninae mtaka staki wahuni mm sio mhuni mung ndo shihidi.
SIFA ZA MWANAUME NINAE MTAKA.
1. Awe na mama yake mzazi/mlezi lakini akiwa na wazazi wot itapendeza sana.kama hana wazazi basi sawa ni mpango wa mungu ingawa itaniuma sana,
Why awe na mama yake? wakuu nataka kumuona huyu mwanamke duniani kote yeye ndo atokee anizalie mme? Nataka kumuona nimwambie ‘mama asante kwa kubeba mimba miezi 9 ukanizalia mwanaume wa ndoa nitakupenda kama mama yangu mzazi.’
2. Awe msafiiiiii. Narudia tena awe msafi kupitiliza spendi mwanaume mchafu sipend aina yeyote ya uchafu, No no nataka siku nikikutana nae macho yangu yadhibitishe kuwa ni msafi,yaan kuanzia kwake ndani mavazi awe smart.
3 Awe mrefu.
4. Rangi Yeyote hainipi shida ila akiwa na ka uweusi Fulani atanoga
5. Awe anajua kuvaa. kama hajui kuvaa smart nitamfundisha hii sector niko vizuri sana
6. Asiwe mwembamba. nataka zawadi za nguo nitakazokuwa nampa zimkae vizuri yaan awe na body size ya kati.(gentleman
7.Awe ana upendo. jamani kama mimi.nasisitiza kama una roho ya paka usijidanganye nataka nionje taste of love
8 Awe ana care, jamani awe na mkono mwepesi hata akinipa pipi ina thamani kwamgu, namiss hii kitu mm natoa sana nikimpenda mwanaume siwezi kutoka mjini bila kumnunulia chochote nguo ndo usiseme.
9.Awe kristo rc na mcha Mungu
10. Awe na miaka 34+ ni lazima.
11. Awe ameshafika stage Fulani ya maisha. Staki mwanaume tegemezi, atleast awe na mradi mmoja wa kumuingizia pesa tofauti na ajira.staki mwanaume mzembe ambae hajui kutafuta pesa. Inshort awe na mipango ya kuwa somebody na future nzuri .staki mwanaume anaemiliki p.u.m.b.u na smartphone.mm ni mtafutaji staki mwanaume wa ovyo.
12,Awe na kucha zote miguuni, napenda weekend nikimkata vizuri kucha zikae fresh avae sandles sometimes pensi fulan amaizing atoke bomba.
13 Asiwe alishawahi kuoa wala kuwa na mtoto nje ya ndoa, Mtoto ni Baraka ila watoto wa nje ya ndoa wanaleta migogoro .staki mme wa mtu mm.
14. elimu degree, masters phd vyote sawa.
15 asiwe mhaya .plz naomba msinielewe vibaya samahani sana mnisamehe
16 asiwe mvuta sigara.
17 awe tiyari kupima HIV
SIFA ZANGU
1. Namshukuru mungu kunipa upendo nina upendo kwa kila mtu
2. Mimi ni msafiiiiiiiiii yaaani ni msafiiiii kupitiliza
3. Nimeajiriwa ila nimejiajiri kimradi changu kidogo pemben tho sipendi kuajiriwa ndo mana nataka mwanaume ambae atanipa sapport tupanga miradi tuwe na maisha bora.
4. Elimu –degree
5. Rangi –mweusi kiasi
6. Urefu size ya kati umbo mm sio bonge.
7. nacare sana nikimpenda mtu nampenda kwa vitendo
8. Sijawahi kumsaliti mtu
9. Dini mkristo –rc
10, najitegemea sitegemei mwanaume vitu vidogovidogo nina uwezo navyo in short mm ni mtafutaji.
11mimi ni mcha mungu.
12 napenda sana competition sipend mme wangu azidiwe na wanaume wengine hasa kimaendeleo
13 sina mtoto na sijawahi kuolewa.
14 nina akili ya maisha yaani IQ yangu ipo juu saa upstairs niko vizuri.
15 Mm ni mchangamfu sana mcheshi namshukuru mungu kuniumba hivi.
16. mm ni mvumilivu ila ikiwa too much, siwezi kuvumilia tena.
17. Situmii pombe na sijawahi tumia.
18. niko tiyari anytime kupima ngoma
19 mimi sio mtu wa kurirusha viwanja ovyo ovyo na sijawahi kukanyaga hata club.
N.B. Mimi ni binadamu sijakamilika nina mapungufu yangu lakini hivyo kidogo mungu alichonijalia kinaendana na ukweli niliouandika hapa. hasa sifa zangu.
NOTE. Ningependa nikutane na mwanaume ambae alishawahi kuishi nje nchi yaani ana exposure ya mambo mengi nina sababu ya msingi hasa kimaendeleo / biashara LAKINI AKIDHI VIGEZO VYOTE NO 1-15 . lakini kama hajawahi kuishi nje na ana vigezo hakuna mbaya najua nikiwa nae tutafika mbali.
NINAVYO MISS.
1. Mme wamgu uko wapi? Nimekusubiri nimejitunza nimechoka kukusubiri
2. Nimemiss kukumbatiwa miaka sasa
3. Nimemiss kukiss staki kukiss na jitu la ajabu lichafu
4. Nimemiss kubebwa
5. nina upweke staki kukaribisha vijianaume vya ajabu kwangu
6. Uko wapi baba nikupikie uone ninavyojua kupika.
7. Njoo uone nilivyo msafiii sijawahi kuingiza mwanaume kwangu njoo uone kwangu nilivyo msafi
8. Njoo uone ninavyojipenda
9. Njoo nikuoneshe upendo
10 Njo baba mama yangu anataka kukuona.
11. Namiss neno baba njoo nikuite baba.
Kiukweli nimeniss vingi sana sio kwamba nilipo hakuna wanaume wapo wengi kazini ila nataka wangu wa moyo nimuoneshe upendo nae anioneshe maana hiki ndicho ninachokimiss kutoka kwa mtu nimpendae.
Mwisho mm ni mwanamke ninaejitambua wale ambao mtakuja hapa kunitusi eti nichonge au nizae mme wangu nawaomba tafadhari mkae kimya najua ninachokita. na nina imani huyu mtu mwenye sifa hizi yupo.
Angalizo.
kama unajua huna vigezo hivyo hapo juu plz usijisumbue kuja pm maana niko makini, najua kuna vitoto vinavyomiliki laptop baada ya kupata mkopo wa board vitakuja plz tuheshimiane ninaomba.
Karibuni.
tulia unyoleweUnataka mume au shamba?
Utapata mrefu lakini jambazi
Utapata mfupi lakini malaya
Hakuna mwenye ukamilifu wa sifa zote hizo, hata wewe mwenyewe unamapungufu yako.
Pole sana.
Well detailed,,pray my dear,just pray and be patient with faith,,,,
bora akose kuliko kibentenWachambue mwisho wa siku utaambulia kibenten