mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi🙏
Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa hayawezekani yanawezekana kwa vitendo
Ametuachia viongozi makini aliowapika kuwa wazalendo kama yeye mwenyewe na ameacha wananchi wengi walio maskini wakiwa na cha kujivunia kwa nchi yao
Ameiheshimisha Tanzania duniani kote kwa kuondoa uhuru wa bendera na kurudisha misingi ya uhuru halisi
Ametuachia serikali makini chini ya aliyekua msaidizi wake makini Rais Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Ametuachia jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyo imara, bunge imara, mahakama imara na jeshi imara.
Hotuba ya Samia siku ya kuapishwa waziri mkuu, waziri wa fedha na waziri wa mambo ya nje. Hii ni baada ya Samia kuteiliwa na Magufuli kuwa makamu wa rais kwa mara ya pili. Samia alimhakikishia Rais amenyooka na kumshukuru sana. Aliahidi kufanya kazi na rais apumzike akifanya mambo makubwa
Hotuba ya rais Magufuli siku ya kuapishwa waziri mkuu, waziri wa fedha na waziri wa mambo ya nje.
🙏🙏🙏
Pole tanzania yangu
Tumuombe Rais wetu Samia Suluhu Hassan aendeleze yale waliyoyaanza pamoja, na Mungu aendelee kumjaza hekma, ampe afya ya mwili, roho na akili katika kulitumikia taifa hili
Rest well our hero President John Pombe Magufuli 💔😭🙏
www.jamiiforums.com

TANZIA - Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Mbeya wasikieni tuu, huwa hawamaanishi vitu vingi wanavyofanya, ukitaka kujua UKWELI wafuatilie baada ya hivyo vilio utacheka.
Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru
Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano
Salaam Wakuu, Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli. Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia. Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya...
Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! DODOMA NI MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI.HAWA NI WAKAZI WA DODOMA WAKISHIHUDIA SAFARI YA MWISHO YA Rais...