Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

Naona Leo unatumia nguvu nyingi sana hapa jukwaani kusifia.

Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
 
Tuache unafiki, ametuachia Ukabila, ametuchia chuki, ametuachia deni kubwa sana la Haifa, ametuachia umaskini uliotamalaki. Alikua na mema machache
Pia unaweza ongezea kazalisha vijana wa kubeti / gamblers pamoja na kudhalilisha wasomi , wanaonekana hamna kitu na wasoweza kutumia elimu yao kwa sababu kampuni zao zimekufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni kumwombea aishi miaka mingi sana, aguswe na pendo lake Mwenyezi, afe akiwa amegeuka na kuziacha fikra zake na kumkiri mara tatu yule aliyemkana mara tatu.....sitashangaa nikimkuta mbinguni huyu kwani mang'amzi ya kiimani yanaonyesha...Mwenyezi Mungu huwamiminia Roho wake kwa wingi na kuwatendea makuu zaidi wote wamchukiao na na kuwabadili kuwa wampendao na kumtumikia kwa moyo wao wote....rejea kisa cha Mt. Petro na Mt. Paulo ktk Biblia.
 
Kama movie...tukana sana Corona....dhihaki wavaa barakoa...mdogo mdogo puuza ushauri wa kutokusanyika...tokea Chato chanja mbuga mpaka Dodoma...pita Morogoro...Dar es Salaam....badae kidogo kimya...wiki 2 kimya...kuelekea wiki ya 3 msiba.
RIP Country Bumpkin.

Maneno yako ya kunya sitayamiss.
 
Mbn mnatumia Nguvu kubwa ?
The passed one he had did nothing the issue of an assassination attempt it unforgettably , Lissu is prophet Alive.
Wamejisahau, waache sisi tuendelee kuchinja mbuzi tu, wasitupangie namna ya kihuzunika
 
Back
Top Bottom