Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

Alichapa kazi na aliijua kazi
Mimi binafsi nimemsamehe huyu mzee wangu makosa aliyonifanyia na namtakia pumziko jema. Kuna watanzania wa kawaida ambao aliwasaidia sana sanaaa na kuna wengine alituumiza mno mnoo. Lakini leo nimekaaa nimefikiria na kujisemea kwamba yaliyopita si ndwele, tugange yajayo: Tuna taifa la watu milioni 60 ambalo tunatakiwa kulijenga kwa mshikamano mkubwa sana.

Hizi tabia za U-CCM na U-CHADEMA za kujihisi kwamba kuna watu wamezaliwa kutawala wengine na ni haki yao ya kuzaliwa hazitatufikisha popote. Ushabiki usio na msingi wa uvunjaji wa utawala wa sheria siyo jambo jema hata kidogo.

Rest in Peace Magufuli, tutakukumbuka kwa uthubutu wako usio na mfano.
 
Yaan kugawa maburungutu hadharani?????
Lala salama mwamba

Kiongozi wa watanzania na kimbilio la wanyonge

Alikomesha uonevu - wewe mzazi mwanao analawitiwa na ukifuatilia unawekwa ndani

Baada ya rais kujua ndio mlawiti anashughulikiwa
 
Wanyonge wote tunamlilia Ila liwe kundi ambalo liliifanya TANZANIA shamba la Bibi wanafurahia akiwepo na mtoto wa Sarungi,Maria
 
Pumzika kwa amani Mpambanaji wetu.
 
Ndiyo umeandika nini sasa?
Kweli njaa kitu kibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…