Hahahaha eti leo ghafla tafsiri ta neno surprise wameisahau, wanataka tufuate mapigo yao na miendoko yao mchana wa jua kali wanasema "naam hili ni giza totoro"Wanajifanya kujitoa akili...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
We nawe tumekuchoka bhanaKIBA ANAKUJA NA REMIX YA AJE THEN INAFUATIA INTERNATIONAL COLLABO
Unahuo uhakika kapiga live band[Sasa ujinga ni kwamba pamoja na watu hao 20 wa mond ila bado anapiga playback wakati kiba ana watu 10 na anapiga live band. Meneja mswahili akajipange... Ajue anadili na meneja msomi anayeijua industry ya mziki wa ndani na wa nje viZuri.
Ni kweli kabisa mkuu, na mimi ndiye niliyesimamia contract zote.Nasikia walimchukua Almasi kwa 5m huku Seven akikubaliana kumtoa Kiba kwa 3m. Eti ni kweli mkuu?
Hahahaaaa yaani bado mnatetea roho mbaya yaani nyie mnafurahishaKapanik kwasababu kiba kalipwa kupitia jina la diamonnd
Majungu ilibidi awaachie mashabiki.. Katika hili kateleza!!Hapa sallam kakosea haya mambo ya majungu siyo mazuri.
Yah majungu angeachia mashabiki sio kesi lakini yeye kama meneji kakosea sana anaye kuwa affected ni diamond .Majungu ilibidi awaachie mashabiki.. Katika hili kateleza!!
Halafu Almasi anatumikia Cord ODM na CCM kama mkuu wa Dharampur, MahiyavanshiNi kweli kabisa mkuu, na mimi ndiye niliyesimamia contract zote.
Tulichozingatia zaidi ni nani anayeweza kutujazia watu kwenye mkutano wetu wa chama cha Cord, Sasa nadhani iko wazi kuwa huyu mnayemwita SIMBA anakubalika zaidi Afrika kwa artist kutoka tized na ametufaa sana kwa shughuli yetu!!
Mahaba vepeee, nijuavyo mie gharama zote za nauli malazi nk zinatolewa na hao walomwita kule. Hy ni tofaut na pesa walokubaliana kulipwa mkuuNi kweli mkuu, kwa Mondi hiyo 5m cause alienda na 20 people, hiyo 3m ya Kiba ni watu 10.... kama unajua hesabu hapo ushajua nani alipata pesa ndefu
Hahahaaa umenifurahisha mkuu hapo ya Dharamraj MahiyavanshiHalafu Almasi anatumikia Cord ODM na CCM kama mkuu wa Dharampur, Mahiyavanshi
na wewe unaamini kuwa hakukuwa na wasanii wengine?!Ndio hata na huyo Raila Odinga kupitia f.b alisema hatakuwepo Diamond hakutaja wasanii wengine
Wasio mpenda kaenda.. Unategemea nini! Wenyewe wanatamani wasanii wote wapotee abakie huyo.. Lakini Mungu sio Sallam.Nachoona ni meneja wa diamond huyo sallam ndiyo anatokwa mapovu.
Mbona sisi hapa Jf tulishajua kiba atapanda jukwaa moja na Diamond ?
kumbe ni hivyo?!, ila sio kweli kuwa kila ujualo wewe ndio uhalisia.Mahaba vepeee, nijuavyo mie gharama zote za nauli malazi nk zinatolewa na hao walomwita kule. Hy ni tofaut na pesa walokubaliana kulipwa mkuu
Muziki ni starehe lakini kwetu unageuka presha..... Kama vile siasa za nanii na nanii banaYah majungu angeachia mashabiki sio kesi lakini yeye kama meneji kakosea sana anaye kuwa affected ni diamond .
Hapa sallam kakosea haya mambo ya majungu siyo mazuri.
endelea kumuita salaam zero lakini huo zero wake unamfanya aendelee kumcement Diamond kama msanii number 1 Eastafrica....