dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,825
- 3,675
Hahahaha eti leo ghafla tafsiri ta neno surprise wameisahau, wanataka tufuate mapigo yao na miendoko yao mchana wa jua kali wanasema "naam hili ni giza totoro"Wanajifanya kujitoa akili...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wanajitoa akili hawa