Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

ivi nani asiyejua ushindani ni lazm uwepo kila nyanja. Diamond na kiba ni washindani so wanapokuwa kwa stag moja lazm washndane tu. Kibaya alichokifanya promota ni kumleta mshndani wa mondi (kiba) pasipo kumtaarifu vp kama angepiga shoo Kali zaidi kumzidi mondi, shabiki wa kiba mngekesha mnatukana ila bahat nzur hamkufua dafu mmetafuta chakuzungumzia. Yaaan nyi hamuwezag kumuinua msanii wenu kivyake vyake mpk mtumie mgongo wa mondi tu.
 
Sasa ujinga ni kwamba pamoja na watu hao 20 wa mond ila bado anapiga playback wakati kiba ana watu 10 na anapiga live band. Meneja mswahili akajipange... Ajue anadili na meneja msomi anayeijua industry ya mziki wa ndani na wa nje viZuri.
Unahuo uhakika kapiga live band[
 
Mi nachojua katika shows zote the main man anapiga mwisho ni kama kwenye ndondi the main fight is always the last, wale wa kutanguliza shoo ndio huwa wanaanza. Sasa huko Mambasa nani alianza na nani alimaliza jiulizeni wenyewe
 
Nasikia walimchukua Almasi kwa 5m huku Seven akikubaliana kumtoa Kiba kwa 3m. Eti ni kweli mkuu?
Ni kweli kabisa mkuu, na mimi ndiye niliyesimamia contract zote.

Tulichozingatia zaidi ni nani anayeweza kutujazia watu kwenye mkutano wetu wa chama cha Cord, Sasa nadhani iko wazi kuwa huyu mnayemwita SIMBA anakubalika zaidi Afrika kwa artist kutoka tized na ametufaa sana kwa shughuli yetu!!
 
Halafu Almasi anatumikia Cord ODM na CCM kama mkuu wa Dharampur, Mahiyavanshi
 
Hahaaa kiungo reserve yani baada ya first eleven haha dharau mbayaa mzee wa bench ikitokea majeruh unawekwa kiraka diamonds are forever lazima mjue kutofautisha katiyaaaaa chibuuuuuuuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli mkuu, kwa Mondi hiyo 5m cause alienda na 20 people, hiyo 3m ya Kiba ni watu 10.... kama unajua hesabu hapo ushajua nani alipata pesa ndefu
Mahaba vepeee, nijuavyo mie gharama zote za nauli malazi nk zinatolewa na hao walomwita kule. Hy ni tofaut na pesa walokubaliana kulipwa mkuu
 
Mahaba vepeee, nijuavyo mie gharama zote za nauli malazi nk zinatolewa na hao walomwita kule. Hy ni tofaut na pesa walokubaliana kulipwa mkuu
kumbe ni hivyo?!, ila sio kweli kuwa kila ujualo wewe ndio uhalisia.
 
endelea kumuita salaam zero lakini huo zero wake unamfanya aendelee kumcement Diamond kama msanii number 1 Eastafrica....

Msanii namba 1 sio kwetu.

Tunataka wanamziki na sio madancer ya kuruka ruka miaka nenda rudi, kama hamuelewi somo basi msijal mwl Kingkiba yupo na atawanyoosha vilivyo.
 
Back
Top Bottom