Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Unamsuprise nani? Diamond au mashabiki?

inabidi nikuache na kampeni yako, maana unatukana sasa.

Tuliza boli, mambo bado. Kiba akasome
 
Unamsuprise nani? Diamond au mashabiki?

inabidi nikuache na kampeni yako, maana unatukana sasa.

Tuliza boli, mambo bado. Kiba akasome
Anawasuprise mashabiki zake we hujui msanii anayemaliza show ndo the best?? Kaulize utaambiwa na ndo maana Meneja wenu mapovu yamemtoka alijua diamond ndo kamaliza Mara kaskia "mwambie aje" hahahaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] kalale nyie hamna point ya kuongea ukiweza kunijibu kwann Meneja wenu alipanic ndo ntakuona wa maana,but now,hell no!
 
The King Himself[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Surprise babkubwa,

Imepokelewa vizuri lazima kaka manager alie, hahahaha kwikwikwikwi.

GoKibaGo.
 
Hahaaa yaani mnanishangaza mnapomlaumu kiba wakati naye kaombwa aparform na hela kapewa sasa hapo nyie badal ya kumlaumu muandaaji na akili zenu fupi mnamlaumu king wetu, em tupishe sie [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ok gotcha yo
 
Kumaliza show sio kuwa best... Wizkid alianza mwanza na local wakamaliza
 
Manager kamaind mtu anapotumia brand ambayo anaijenga kwa nguvu ikatumiwa ovyoovyo. Hopes ts not kiba fault I got it. Ila mwandaaji wa show kazngua.
 
Pamoja na kufanya sapraiz lakini muulize boss wako kilichompata Mombasa alichezea mvua ya mawe afu kuona mond dau lake noma kala 5M ksh upo
 
Long leave the king.... Yoooo.... Let's talk it serious is diamond manager a fool or is still a child he can't even know wat a surprise special it is.... He'll not. I lock here funny there two tings different DIAMOND IS GOOD WE ALL NOW THAT.......... BUT BRA KINGKIBA KING OF DIAMOND IS THE BEST..... TWO TINGS U CAN ALL SEE........................... LIKE I CAN IS DIAMOND HOW HE WENT CRY TO HIS CRAZY BABIES MAMA ZARI. I NEVER MESS UP WITH THE KING





@KINGKIBA
ali KIBA
ali THE SUPRISE
 
Kwani sisi mashabiki ndo waandaaji na kwanini meneja wenu apanic? Kama anajiamini kwann asingepotezea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nonsense!
Akiendelea kuwapotezea mtazoea sana, uyo promota km alitaka kumuaibisha Mondi amefeli maan huwez kumleta mtu na mshindani wake then mmoj unampa taarifa mwingine unamficha, alikuw na malengo gani ata ningekuw mm nisingependa kbs
 
Wenzenu sasa hivi wanagawana pesa walizopata nyie mnatoka povu huku hongereni sana
 
Hasiye na akili anachukua 5m, mwenye akili anachukua 3m au mnaongea kinyume ....???
Mkuu salama lakini..?
Hivi ikitokea umepewa 5 mil tshs na nyuma yako kuna watu 19 kwenye mgao wa hiyo pesa, Na wakati huo huo ukapewa 3 mil tshs na nyuma kuna watu 9 kwenye mgao wa hiyo pesa.
Utachukua mil 3 ugawane na wenzako 9 au mil 5 ukagawane na wenzako 19..?
 
Sasa kwa nini huyo anayekubalika mlimlipa 5 mil kwa timu ya watu 20..? Na asiyekubalika mkamlipa 3 mil kwa timu ya watu 10...?
 

Unasema!!!!!?😡😡😱😱
 
Upo sahihi mkuu,hawa jamaa wanaleta uteam wao hapa wanajifanya hawaoni kinachofanywa na chibu.
Diamond kwa bongofleva ni sawa na kanumba kwa bongomovie.
Uyo kiba hana tofaut na ray kigosi.
Wanatembelea nyota za watu tu.Leo hii chibu akisema astaaf mziki,huyo kiba ndio imekula kwake,hawez kusimana pekee yake bila ya chibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…