Chinco plem
New Member
- Aug 23, 2016
- 2
- 0
Hawana jipya hao WCB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamsuprise nani? Diamond au mashabiki?Yaani nyie mashabiki mandazi ndo mnatia aibu hadi meneja wenu, et njia za panya hahahaaa na usijifanye hujaona mkataba mwenye watu 10 kapewa 3ml ksh na mwenye watu 20 kapewa 5ml ksh, Na bado kapewa heshima ya kumaliza mchezoo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Surprise ni heshima Kama hujui
Anawasuprise mashabiki zake we hujui msanii anayemaliza show ndo the best?? Kaulize utaambiwa na ndo maana Meneja wenu mapovu yamemtoka alijua diamond ndo kamaliza Mara kaskia "mwambie aje" hahahaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] kalale nyie hamna point ya kuongea ukiweza kunijibu kwann Meneja wenu alipanic ndo ntakuona wa maana,but now,hell no!Unamsuprise nani? Diamond au mashabiki?
inabidi nikuache na kampeni yako, maana unatukana sasa.
Tuliza boli, mambo bado. Kiba akasome
ndicho kinachotakiwa ila wabongo wasiojielewa furaha yao ni kumuona mmoja yupo juu zaidi ya mwenzake hizi team ni upuuziJamani tuwapende woteeeeee
Ok gotcha yoHahaaa yaani mnanishangaza mnapomlaumu kiba wakati naye kaombwa aparform na hela kapewa sasa hapo nyie badal ya kumlaumu muandaaji na akili zenu fupi mnamlaumu king wetu, em tupishe sie [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kumaliza show sio kuwa best... Wizkid alianza mwanza na local wakamalizaAnawasuprise mashabiki zake we hujui msanii anayemaliza show ndo the best?? Kaulize utaambiwa na ndo maana Meneja wenu mapovu yamemtoka alijua diamond ndo kamaliza Mara kaskia "mwambie aje" hahahaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] kalale nyie hamna point ya kuongea ukiweza kunijibu kwann Meneja wenu alipanic ndo ntakuona wa maana,but now,hell no!
Manager kamaind mtu anapotumia brand ambayo anaijenga kwa nguvu ikatumiwa ovyoovyo. Hopes ts not kiba fault I got it. Ila mwandaaji wa show kazngua.Anawasuprise mashabiki zake we hujui msanii anayemaliza show ndo the best?? Kaulize utaambiwa na ndo maana Meneja wenu mapovu yamemtoka alijua diamond ndo kamaliza Mara kaskia "mwambie aje" hahahaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] kalale nyie hamna point ya kuongea ukiweza kunijibu kwann Meneja wenu alipanic ndo ntakuona wa maana,but now,hell no!
Pamoja na kufanya sapraiz lakini muulize boss wako kilichompata Mombasa alichezea mvua ya mawe afu kuona mond dau lake noma kala 5M ksh upoRoho mbaya zenu mithili ya korosho tutazinyoosha, Tumezaliwa na kukulia kariakoo wewe wa tandale ndio ujifanye upo juu? What the hell, Mwaka jana tuliwambia hivi kufikia October mwaka huu, wote mtafyata mikia, sasa yametimia, Tunawachemsha kwa pasi ya mkaa yani hata umeme uzimike mtanyooka tu.
kwel kabisa mkuu hatutak kujifunzaSema ww coz watz tunakuwa nachuki ambazo hazituletei faida...
Akiendelea kuwapotezea mtazoea sana, uyo promota km alitaka kumuaibisha Mondi amefeli maan huwez kumleta mtu na mshindani wake then mmoj unampa taarifa mwingine unamficha, alikuw na malengo gani ata ningekuw mm nisingependa kbsKwani sisi mashabiki ndo waandaaji na kwanini meneja wenu apanic? Kama anajiamini kwann asingepotezea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nonsense!
Mkuu salama lakini..?Hasiye na akili anachukua 5m, mwenye akili anachukua 3m au mnaongea kinyume ....???
Sasa kwa nini huyo anayekubalika mlimlipa 5 mil kwa timu ya watu 20..? Na asiyekubalika mkamlipa 3 mil kwa timu ya watu 10...?Ni kweli kabisa mkuu, na mimi ndiye niliyesimamia contract zote.
Tulichozingatia zaidi ni nani anayeweza kutujazia watu kwenye mkutano wetu wa chama cha Cord, Sasa nadhani iko wazi kuwa huyu mnayemwita SIMBA anakubalika zaidi Afrika kwa artist kutoka tized na ametufaa sana kwa shughuli yetu!!
Kingeli cha sallam ni safi sana. Hivi kwa nini asitumie lugha yetu adhimu?????
Long leave the king.... Yoooo.... Let's talk it serious is diamond manager a fool or is still a child he can't even know wat a surprise special it is.... He'll not. I lock here funny there two tings different DIAMOND IS GOOD WE ALL NOW THAT.......... BUT BRA KINGKIBA KING OF DIAMOND IS THE BEST..... TWO TINGS U CAN ALL SEE........................... LIKE I CAN IS DIAMOND HOW HE WENT CRY TO HIS CRAZY BABIES MAMA ZARI. I NEVER MESS UP WITH THE KING
@KINGKIBA
ali KIBA
ali THE SUPRISE
Upo sahihi mkuu,hawa jamaa wanaleta uteam wao hapa wanajifanya hawaoni kinachofanywa na chibu.Watu wanaomponda Diamond kwenye hii game ya Bongo Fleva ni vipofu au tuseme hawana shukrani. Huyu mjomba kaichukua hii Bongo Fleva to another level sasa imepata thamani mnampika majungu. Hawa wakina Ali Kiba na wengine wote walikuwa wanaimba kupata milupo na kuganga njaa kwa wahindi. Kaja jamaa kuonyesha njia ya kupiga hela watu wanampika majungu, watanzania sijui tupoje!!!