Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Wanasema surprise,yaani mimi nione tangazo la.show inaonyesha diamond atakuwepo then niende kule kwenye show nikute diamond anapiga mziki,kisha anatokea ali kiba,hata kama ntamshsngilia kiba,lakin tambua alienitoa nyumbani kuja kwenye show ni diamond,na hata ingekuwa ni malipo tafsir yake nimelipa kiingilio kwa ajili ya show ya diamond.
Alichofanya kiba mi kujishusha na mwenyew moyoni analitambua hilo.
 
Exactly mkuu...

Kiufupi, diamond anamlisha Alikiba kwa sasa.
 
Kiba ndio mwenye watu wengi kwa taarifa yako,maana yeye yupo chini ya MENEJIMENTI kwa maana ya kampuni,anapangiwa apewe sh'ngapi (kama Harmo alivyo WCB) Wakati DIAMOND yeye ndio anawa meneji. Ambao wengi wao wapo kwa kulipwa mwisho wa mwezi na hategemei shoo kuwalipa hao watu wengi unaowaona.
 
Akiendelea kuwapotezea mtazoea sana, uyo promota km alitaka kumuaibisha Mondi amefeli maan huwez kumleta mtu na mshindani wake then mmoj unampa taarifa mwingine unamficha, alikuw na malengo gani ata ningekuw mm nisingependa kbs
Hahahaaa halaf kamueka king amalize mchezo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kumpandisha Diamond na ally kiba jukwaa moja ilibidi Dai alipwe zaidi ys hizo 5mil... ni kama uwaweke mayweather na pacquiao...

Salaam atakuwa kamind sana maana anajua walitakiwa wapige mpunga zaidi ..ila meneja kafanya janja janja
 
Hii ni fursa ya kupiga mkwanja wa maana kupitia hawa watu. Wacha niwashe pc yangu niandae proposal moja matata
Sitanii
 
Hata mm bby wangu kitu kizuriiiii hua nafanya surprise
 
Ally kiba nyimbo zake nzuri na diamond nyimbo zake nzuri.wote wanaitangaza nchi yetu nzuri Tanzania
Tatizo hao mameneja hawaki kuona wengine wanapanda juu wanaona wao ndio kila kitu kwenye huu mziki kwamba ni wa kwao.wanataka kila msanii akawapigie magoti ndio watoke
 
Exactly mkuu...

Kiufupi, diamond anamlisha Alikiba kwa sasa.
Alafu mond kala 5M ambazo kama 110m iv za kibongo akiwa na watu 20 buku kiba akila 3M kama 66M za kibongo akiwa na watu 10 piga calculation kama kila mtu atamgeia alienda nae m2 nani atabaki na mkwanja mrefu ukishamaliza apo ndo utaona nani anamkimbiza mwenzie
 
Ushaona kaka tatzo mashabiki wa kiba wanatamani sana kusikia mond kafeli so akiwakazia na kuwapa makavu kuwa wa acha mziki wa Janja Janja unaonekana mswahili wakat msanii wao anatumia mgongo wa mwenzie kuwini majority na kilichompata kenya hatakisahau pamoja na sapraiz yake
 
Anamkimbiza wapi? ni kweli alikiba hakuwepo kwenye tangazo. So watu walilipa wakijua ni diamond. Njaa kali akajitokeza hapo kati.

Amshukuru diamond maana bila yeye asingepata riziki.

Mbn mnakuwa hamna shukrani?

na akitaka kupata awe anamfuata nyuma nyuma hivo hivo, vingenevyo hatoboi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

chezea kudoda nini
 

Hapakua na kiingilio Wewe it was free show kwa watu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…