Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Unavosema kiba ndo kaanzisha wapi, nenda hata kwenye page yake kaweka pic 2 tu halaf Hana caption za kiswahili,Na swali je kwann meneja wenu apanic vile?? Kama anajiamini kwann asipotezee hii imeonesha jinsi gani kiba anawanyima usingizi
 
By the way, Kiba alipojua ni ya siasa ali9mba kwenda kupiga show bure, na kuwahahidi hataingilia kujitangaza sababu show ni ya Diamond Platnumz aliyelipwa pesa nyingi.
Hahhaaa pointless [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovu yanawatokaje
 
Nope, mtu afanikiwe kwa njia yake si yakutaka mwingine ashuke na kuringishia wakati anajua ukweli.
Hahaaa mnanifurahisha kweli kwahiyo kiba katoka huko et anaenda kumshusha domo , waandaaji watakuwa walifanya siri maana walijua diamond anaweza asiperform akijua kiba yupo, jibu ni kwann?
 
Huyo kama kushuka atashuka mwenyewe.. Sidhani kama Kiba ana lengo hilo!!

Hawa managers wa Diamond waache roho mbaya, tunataka kuona wasanii wengi zaidi wakifanikiwa ni fahari kwetu kama taifa!
Huyu Meneja amejishusha hadhi ndo tabu ya kuwa na mameneja wa kiswahili
 
Kiba kagongwa vibaya...mashabik hata hawamwelew amebak kutembelea nyota ya mdogo ake Mondi...poor Ali
 
Kwanza Mimi ni mwanamke na kuelezea hisia zangu kwa mwanaume Kama king kiba sio dhambi , kwanza ni handsome, pili sauti yake inanikosha mpaka kumoyo tatu anaujua mziki, mashairi yenye maana . ambaye hajui mziki mzuri ndo ambaye anauchukia mziki wa ally kiba au ni bendera fuata upepo au chuki binafsi kwa kingi.. Haya sasa narudi kwako wewe unawezaje mwanaume kuelezea hisia zako kwa mwanaume mwenzako??(domo) hahaaa mchicha mwiba at work [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hiyo ni festival kama jahazi, sio show ya Kiba uwe unauliza kwanza. Kiba hana uwezo wa kupiga one man show kama Chibu huo ndio ukweli yeye anachoweza ni kutambaa kwenye nyayo za wengine.
Mmepanic [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado, ila bado hamjajibu swali kwann meneja wenu aweke caption hizo?
 
Watanzania hapo ndio mfunguke macho na hawana wakina sallim, roho mbaya za korosho, Wanataka kila siku mema yawapate wao tu, What the hell? Aiseee Kiba goooooo, na bado mtv nenda kawauwe kabisa si walikuwa wanakuchukulia poa eeh? Goooo kiba I say gooooo Dady
 
Ila kwa mameneja uchwara hawa ww unazungumziaje caption zake?
Sallam sio meneja uchwara.amesaidia vijana wengi sana katika tasnia ya mziki kitaifa na kimataifa.Tanzania yetu inajulikana kwenye mziki wa bongofleva kupitia sallam sk..vitu vingine ni kick tu ktk biashara ya mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…