me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Unavosema kiba ndo kaanzisha wapi, nenda hata kwenye page yake kaweka pic 2 tu halaf Hana caption za kiswahili,Na swali je kwann meneja wenu apanic vile?? Kama anajiamini kwann asipotezee hii imeonesha jinsi gani kiba anawanyima usingiziMu accept Kiba anatumia mgongo wa Diamond, angetangazwa yeye ndio ingebidi alete kujishooo shooo. Ila ni Diamond kaheshimika zaidi, pia muache kuchochea jamani. Kiba kaanzisha kajibiwa vizuri, huwezi kuwa surprise na kujidai umevuta crowd ya watu.
Bora ajitahidi kupiga show hata Dar, kiingilio kianzie laki tatu avute crowd kuonyesha yeye ni King na yupo juu kama anavyodai...it's that simple.