Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Na hapo ndipo tunaona tofauti kati ya shule na ujanja-ujanja.Achana na dada Seven bwana [emoji7][emoji7][emoji7]
Super woman mwenye akili kubwa.
Upande wa pili anawajibu wote ndio tunayoyashuhudia [emoji23][emoji23][emoji23]
Doa gani?Yani wewe ndo unajidai unaona mbali kuliko hata Kiba mwenye muziki wake?Ila kua suprise artist king kiba kumemtia doa kidogo.
Doa gani?Yani wewe ndo unajidai unaona mbali kuliko hata Kiba mwenye muziki wake?
Umbea tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walijua diamond hawezi kutokea ndo maana wakafanya surprise ila kiba alijua kwahiyo hapo ushajua nan anamuogopa mwenzie.. Diamond pamoja na makeke yake yote lakini anamuogopa kiba huo ndo ukweli
Zeroooooo [emoji108][emoji108][emoji108]Diamondo ni zero kwa Kiba. Huo ndio ukweli. Ila watu wanapotosha nakutufanya wa Tz kama maproso
Pole pole(sio humphery) dada!!!Doa gani?Yani wewe ndo unajidai unaona mbali kuliko hata Kiba mwenye muziki wake?
Umbea tu.
Hivi kama kapewa pesa zake kuna tatizo gani?Pole pole(sio humphery) dada!!!
Yeye anaweka maslahi yake ya kifedha akiona yamekaa tu sawa.
Ila akumbuke ana maslahi mengine kuliko hizo fedha ,na yeye anashusha hii maslahi yake sababu kakubali kua msanii ambae watu hawajakuja kumwona yeye show.
Sure [emoji122]Mbinu za kibiashara hizo...
Anashusha brand yake,hawezi kutumika kama mkusanyaji wa watu na thamani ya hiyo " brand" hakuna pesa inaweza compensate.Hivi kama kapewa pesa zake kuna tatizo gani?
Zeroooooo [emoji108][emoji108][emoji108]
NI REMIX YENYE MAHADHI TOFAUTI AKIWA NA M.I ITATOKA VIDEO NA AUDIO NA THEN ATAACHIA MZIGO WA INTERNATIONAL AMBAO UTAKUWA SURPRISE KWA MASHABIKI WAKEUwiiiiiii Kiba anataka kurudisha ule moto wa team uliopoa JF siku hizi.
Siwezi kusubiri [emoji39][emoji39][emoji39]
Unajitahidi kujibu kila mtuKing anawajambisha mapovuu
Hivi contracts nowadays is open to everyone?mahaba mabaya mno
mondi alichukuliwa kwa 5m.ksh
king kiba 3m ksh
pia sijaona kupanic kupo wapi?