baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
CCM wana matatizo yao ila hawajafikia level ya Kagame, mfano Kigali hapo wapo tu 1.7M na dar ni kama mara 5 ya Kigali population ila Kigali ina slums nyingi zaidi kuliko dar, vinyumba vya udongo kibao, kifupi Rwanda Utajiri wao wanao watu wachache na Nchi nzima wapo kwenye Umasikini mkubwa.Tupe tofauti ya anachofanya kagame rwanda na inachofanya ccm Tz.
Sisi tumewapita Rwanda Pato la mtu mmoja mmoja japo tupo wengi zaidi na hatumuibii mtu Rasilimali zake, kama ni ufisadi ni hela za humu humu ndani.