Sio kosa langu kwa ujinga wako, unajua vigezo vya lower income na lower middle income?
World Bank LMI classification
- Low-income: GNI per capita of $1,145 or less
- Lower middle-income: GNI per capita between $1,146 and $4,515
- Upper middle-income: GNI per capita between $4,516 and $14,005
- High-income: GNI per capita of more than $14,005
So nikuulize wewe mwenye $990 na $1200 nani ni low income na nani ni lower middle income? Kama Rwanda ni lower middle Lete ushahidi.
Pia gape la $990 na 1200 ni kubwa mno tunaongelea Gdp per capita hapo.
Assume tena Familia ina watu 5 ina maana unachukua $210 x 5 unapata $1100 ambayo ni Takriban milioni 3.
So familia ya Kitanzania inapata milioni 3 zaidi kuliko Familia ya Kinyarwanda, huoni utofauti hapo?
Na tena huku maisha ni bei rahisi zaidi, uki take consideration cost ya maisha gape ni kubwa zaidi.
Assume data zako za Gini Coefficient zipo sawa still asilimia 3 ni kubwa kwa Nchi zenye watu kwa mamilioni,