Tanzania ni middle lower income kwa maana Gdp per capita yetu ni zaidi ya $1200
Rwanda Gdp per capita ni chini ya $1000
Kwa Lugha rahisi ya madafu unayoielewa wewe kila Mtanzania anatengeneza zaidi ya 500,000 kushinda Rwanda kwa mwaka, ina include hadi watoto wa Changa,
Hata hujui Gini coefficient ni nini bado unabwabwaja tu, Gini inapima Pato la watu wenye Nacho kama kina Bakhresa, MO, mawaziri, maraisi etc na pato la wasio nacho kama Vile Walimu, Ma house girl, vibarua wa Viwanda etc kutengeneza hio coefficient na kuonesha gape la walio nacho na wasio nacho.
Nitakupa mfano Rwanda Mwalimu wa Shule ya Msingi analipwa kama 200,000 ya Tanzania
For comparison Tanzania ni zaidi ya laki 3 mwalimu msingi anapata, so sisi tunalalamika laki 3 ni ndogo ila wenzetu wanaimezea mate
Kutokana na masikini kuwa masikini zaidi inafanya Income inequality ya Rwanda kuwa kubwa zaidi.
Ni kubwa mno,
Chukua idadi ya watu milioni 60 Asilimia moja tu ni watu laki 6, mtu akikuambia tumewapita Asilimia 5 ama 10 anamaanisha watu milioni 3 ama 6, unajua gharama ya kusomesha watu milioni 3? Ama uwe na watu milioni 6 kwenye nchi yako ambao hawajui kusoma na kuandika?